Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hapa ndo tunaona tofauti kati ya wanaume na wanawake. Who Cares, Gaga hakuwa anataka solution na siamini kama anatatizo, yeye alikuwa anataka kujieleza (maisha ya ndoa) na anategemea wengine (watakao mwelewa) watoe uzoefu wao katika ndoa. Naelewe ni vigumu kuelewa kwasababu sisi wanaume hatuko wired hivyo.
Bishanga maneno yoote yale hujaridhika! Go read again...lol
re birth imegoma,ili ikubali inataka u relax sana,ngoja niendelee kujaribu.you mean delivery iwe ya warts and all?mmmhhhhh utanichukia bure.Hakikisha once you deliver you deliver it all... waiting patiently...
Nsiande kwanza nashukuru kwa kunisahihisha hapo mambo ya kidhungu ngoja nika edit, Maisha ya usingle yana raha sana ila zile raha si za kudumu kama kwenye ndoa, maana ukiendekeza usingle sana badae umri ukienda unaanza kuwa mpweke, vimaswali vingi kama hivi tunajiuliza sana tu ila mwisho wake unakuta jibu unaloNi swali zuri..why did I get married ??...
Yote uliyosema hapo juu ni kweli kabisa, you feel lucky,loved na watoto tena aaaah!
Ila I sometimes miss (me)!! I miss the crazy hangouts with my girlfriends, tulikuwa tunapiga story mpaka saa 8 usiku...lunch dates..never have to say where u r..u know small things...ukirudi home no kelele za watoto...nakumbuka minesite dancing to the tune of 'independent women' we were so crazy in that packed little safari bar...
But all these things can't compare with the contetment(sp) and serene ya sasa...kwahiyo yale ya zamani yote utayamiss lakini kwakweli ndoa ina furaha sana..vigingi vipo ila si kivileeee...
Kweli kabisa siku ingine unamuona kama godzilla fulani hivi unatamani usingemjua mara kesho yake unamuona malaika mambo haya bwana ila yote hii ni upendo tu nahisiHata sina hakika....
Mi kwa kweli siku akinikwanza huwa najiuliza hivi huyu mtu nilimtoa wapi?? Tena huwa namuona mbayaaa mhh
Tukiwa kwenye raha zetu namuona bonge la handsome, najivunia kumpenda. Hahahha
Niliingia kwny ndoa kupenda mwenyewe na shukuru vikwazo ni vichache sana kulinganisha na upendo.
nime go na ku read again mama,umesema na nakuu 'kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu', hapo dear hapo ndo nkakwambia sasambura mama utujuze kila kitu........
re birth imegoma,ili ikubali inataka u relax sana,ngoja niendelee kujaribu.you mean delivery iwe ya warts and all?mmmhhhhh utanichukia bure.
Nashukuru kwa kunielewa Blessing..... nimeleta tujadili ndio maana nimetoa swali na maelezo ya kina ila wote hatuwezi waza kitu kimoja wajameni au pale mwisho ningeweka neno discussUnajua umejibu vizuri sana. Nafikiri pia Gaga ameleta tuu topic for discussion sio kua eti anataka kweli solution laa hasha. But in contributing to this nice useful topic, I would like to say that marriage is a lovely agreement on one condition kwamba kama you match and have the same qualities. Marriage ya siku hizi ni techical know who has what and who's daughter or son is he/she. Mapenzi ya materializms in the sense kwamba wanaingia kwenye ndoa na within a few weeks - ndoa imeota fungas. When umeoa au olewa na the right guy/girl -- it is enjoyable kwa kweli. Maybe ni seme pia kwa kuna makabila ambao wanajua kupenda hata iweje. Lakini kuna makabila mengine kama hawa wenzetu kutafuta tuu pesa ---- na pombe na kukosa kujua jukumu lao ya ndoa haasa wanaume ni baala maybe our children of today who are mixing with different tribes and have some knowledge sharing are better. My advise is people should make sure that they match. Cheers.
Unaweza tu toa mawazo kulingana na maisha yanayokuzunguka ndugu au marafiki eee najua una uwezo sana wa kupembua vitu aisee
Nalipika chai ndani ya birika nikidhani yaaangu kumbe ya shirika,chekele chekele mkono wa bangili mwanamke mwema nimpatie nooti.......that song tells you something about bishanga's plight.....acha exuses wewe....lol.. me waiting patiently, cha ajabu nimetoa maneno yoote yake hujaridhika hali wewe hata moja!
Poa mwaego hivi mtu unaweza edit title kweli maana posts za masahihisho zinazidi kumiminika