Kwa mujibu wa wikipedia inasemekana kuwa nchi ya china inaongoza kwa uzalishaji wa magari ambapo kwa mwaka 2009 china ilifanikiwa kuzalisha magari 18,264,667 kwa mwaka ambayo ni mara mbili ya japani iliyozalisha magari 9,625,940 zilkifuatiwa na USA, south Korea na
Brazil. Pamoja na wingi huo wa magari yanayozalishwa nchini china hakuna hata kampuni moja nchini humo inayoingia katika kumi bora za kampuni zinazozalisha magari kwa wingi duniani.
kampuni zilizomo kuanzia namba moja ni Toyota, general motors (gm), volks wagen, ford, Honda, nissan, peageot, hundai, suzuki na fiat. hii ni kusema kwamba nchi ya china ina viwanda vingi vya magari kuliko nchi zote duniani ila inawezekana ni small and medium scale industries.
hata hivyo kwa idadi kubwa ya gari zinazozalishwa nchini humo tungetaraji kuona soko lake ni kubwa sana hasa katika nchi zetu hizi tusiyojali saana mambo ya ubora sasa kwa nini hazijapata umashuhuri huo.
kama kuna mwana JF ambaye anatumia gari la kichina au ni fundi mtueleweshe hili ili tujue mapungufu ya gari hizi........!!!!!!!!!!!!!
<br />Niliagiza gari ya kichina nikambiwa naweza kulipata mwaka 2027 maana kwa sasa wanauza kwa watu wao kwanza, labda tuwaombe wafanya biashara wetu waeende wakatengeneze copy za gari ndio tutazipata.
<br />Mbona zipo mitaana kama ile inayoitwa Pickup za Great Wall, Malori ya Bei Bei yenye label kama Benz,
FAW ni tao Pamoja na JEIFONG, YUTONG nk magari yao yapo sana TanzaniaFAW si yao kweli? mara nyingi haya huwa ni malori
umenena kitu hapa mana wa tz kwa brand name!! nothing to tell themTatizo ni quality na brand name, kuweza kutengeneza gari haina maana kuwa kuna mtu atalinunua.
Pia product za kichina zina perception ya low quality (mara nyingine ni kweli) kwa producrt kama gari hili ni tatizo kubwa kwa sababu mteja anataka ajisikie salama na awe na uhakika wa gari kudumu kwa muda mrefu.
Wachina wenyewe wanapenda magari ya Kimarekani maana ni status symbol kuwa na gari la Kimarekani.
Pia video kama hizi hazisaidii.
Niliagiza gari ya kichina nikambiwa naweza kulipata mwaka 2027 maana kwa sasa wanauza kwa watu wao kwanza, labda tuwaombe wafanya biashara wetu waeende wakatengeneze copy za gari ndio tutazipata.
<br /><font size="4">Magari ya Kichina yako bomba sana tu sema sisi wabongo tumeshakalili. Na China kwenyewe huwezi ukakuta malori ya scania nk. Halafu mjue kwamba sasa hivi Volvo zinatengenezwa china maana walishanunua hisa zote za volvo. Yako magari mazuri sana ya Kichina ila sema hatujayataka tu. China kuna vitu vizuri sana kuliko mnavyofikiria na hawaimport vitu ovyo toka nje kama kikiwa impoted kinakuwa na bei kubwa olmost mara 2 ya bei ya China.</font>
<br /><font size="4">Magari ya Kichina yako bomba sana tu sema sisi wabongo tumeshakalili. Na China kwenyewe huwezi ukakuta malori ya scania nk. Halafu mjue kwamba sasa hivi Volvo zinatengenezwa china maana walishanunua hisa zote za volvo. Yako magari mazuri sana ya Kichina ila sema hatujayataka tu. China kuna vitu vizuri sana kuliko mnavyofikiria na hawaimport vitu ovyo toka nje kama kikiwa impoted kinakuwa na bei kubwa olmost mara 2 ya bei ya China.</font>