Why CHADEMA will always be opposition party

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
A POLITICAL PARTY WITHOUT VISION AND MISSION IS A FAILED POLITICAL PARTY.

CHAMA KIMEKOSA
1. Kuwa taasisi imara it still depend personalities
2. Kmeshindwa kujibainisha kinasimamia sera gani
3. Asilimia 70 ya wananchi vijijini hawakifaham ni chama cha namna gani
4. Kimeshindwa kukuza demokrasia ndani kwa kutoruhusu wakosoaji
5. Kufa kwa ubunifu wa viongozi labda suala la elimu linaweza kuingia.
6. Kukosa sera madhubuti na kuishi kwa matukio na scandals. ina maana kusipokuwa na tukio then kueneza chama itakua kazi ngumu

KUNA VYAMA VYA KILAGHAI SANA HP TZ.
 
CHADEMA kimezindua rasimu ya Sera kuu tano kwenye mkutano mkuu uliopita.Pia pamoja na sera nyingine,CHADEMA kimekua chama cha kwanza Tanzania a Afrika kuwa na Sera ya Mazingira hasa katika kuhimili na kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi

Acha upotoshaji
 
Mbona wananchi wengi hutujui hizi sera?? Na kwanini naona sare za CCM huku mtaani zimejaa zikipiga kampeni za uchaguzi wa serikali za mtaa lakini siwasikii UKAWA wala chadema. Mnabidii muongeze bidii. Shauri yenu.
 
Hiki chama kimekuwa kikikuwa taratibu lakini kwa umakini. Kusema kuwa kitaendelea kuwa chama cha upinzani ni wewe kukosa maono ya mbali. Ndio, kinawezekana chama bado kinamapungufu ya hapa na pale lakini ukae ukijua huko ndio kukua. Just watch out!
 
mkuu kila kitu wao wanazani ni propaganda
 
Hiki chama kimekuwa kikikuwa taratibu lakini kwa umakini. Kusema kuwa kitaendelea kuwa chama cha upinzani ni wewe kukosa maono ya mbali. Ndio, kinawezekana chama bado kinamapungufu ya hapa na pale lakini ukae ukijua huko ndio kukua. Just watch out!

thanks for admitting!!!!!!!
 
CHADEMA kimezindua rasimu ya Sera kuu tano kwenye mkutano mkuu uliopita.Pia pamoja na sera nyingine,CHADEMA kimekua chama cha kwanza Tanzania a Afrika kuwa na Sera ya Mazingira hasa katika kuhimili na kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi

Acha upotoshaji

kile kitengo cha sumu nan yupo in charge?
 
propaganda za ukabila na udini zimekufa siku hizi...
 
Mbona wananchi wengi hutujui hizi sera?? Na kwanini naona sare za CCM huku mtaani zimejaa zikipiga kampeni za uchaguzi wa serikali za mtaa lakini siwasikii UKAWA wala chadema. Mnabidii muongeze bidii. Shauri yenu.

Wewe kutojua hakuondoi uwepo wa hizo sera. Pia kwa watazania ukiwemo wewe kudanganywa kwa kofia, tshirts na kanga sio jambo geni. Ujinga wa watanzania walio wengi ndio mtaji wa CCM
 
Na nyie kwa majibu kama ya hapo juu mnapoteza kura. Nilitegemea unisaidie japo na link niisome au unisaidie wapi niipate au mjaribu kuwa aggressive ku push kwa sisi wananchi kama kupitia vipeperushi,program za tv na redio au mwende mbali mfungue vyombo vyenu vya habari mtu habarishe. Nimeshauri muuongeze bidii ghafla umeshatu label watanzania wengi ni wajinga halafu unakaa hapo unategemea utapata kura zetu.
 
A POLITICAL PARTY WITHOUT VISION AND MISSION IS A FAILED POLITICAL PARTY.

CHAMA KIMEKOSA
1. Kuwa taasisi imara it still depend personalities
2. Kmeshindwa kujibainisha kinasimamia sera gani
3. Asilimia 70 ya wananchi vijijini hawakifaham ni chama cha namna gani
4. Kimeshindwa kukuza demokrasia ndani kwa kutoruhusu wakosoaji
5. Kufa kwa ubunifu wa viongozi labda suala la elimu linaweza kuingia.
6. Kukosa sera madhubuti na kuishi kwa matukio na scandals. ina maana kusipokuwa na tukio then kueneza chama itakua kazi ngumu

KUNA VYAMA VYA KILAGHAI SANA HP TZ.
sio mbaya ni hatua kwa hatua hata CCM wangekuwa wapinzani kipindi hicho yawezekana wasingeweza hata kidogo kuwa na nguvu walizonazo chadema. ko ni wakati tu utakuja. ndo maana kama unafuatilia siasa kwa kipindi kirefu hatukuwa na upinzani ambao unawafanya ccm wapate homa kama wanavyofanya sasa. mara zote walikuwa wanaota vitambi tu, kupongezana na kusifiana kwa viongozi wanaojua kukwapua hela za walipa kodi lkn sasahivi nafikiri unayaona yanayotekea kwa serikari yako. na isistoshe siku ccm wakija ruhusu kuanguka na kuwa sehemu ya wapinzani juwa kabisa ndio mwanzo wa kufutika kabisa kwenye siasa za tanzania. ko tulia mzee siku yaja soon.
 
ukisema chadema vijijini kitu cha kwanza wanafikiria kuwa chadema ni helcopita.
 
CHADEMA kimezindua rasimu ya Sera kuu tano kwenye mkutano mkuu uliopita.Pia pamoja na sera nyingine,CHADEMA kimekua chama cha kwanza Tanzania a Afrika kuwa na Sera ya Mazingira hasa katika kuhimili na kukabiliana na mabadiliko ya Tabia nchi

Acha upotoshaji

Mazee,

Unaposema CHADEMA kimekuwa chama cha kwanza Afrika kuwa na sera ya mazingira, unahakikisha vipi Afrika nzima hakuna chama kilichokuwa na sera ya mazingira kabla ya CHADEMA?
 
Mazee,

Unaposema CHADEMA kimekuwa chama cha kwanza Afrika kuwa na sera ya mazingira, unahakikisha vipi Afrika nzima hakuna chama kikichokuwa na sera ya mazingira kabla ya CHADEMA?

hahahaha
 
Na nyie kwa majibu kama ya hapo juu mnapoteza kura. Nilitegemea unisaidie japo na link niisome au unisaidie wapi niipate au mjaribu kuwa aggressive ku push kwa sisi wananchi kama kupitia vipeperushi,program za tv na redio au mwende mbali mfungue vyombo vyenu vya habari mtu habarishe. Nimeshauri muuongeze bidii ghafla umeshatu label watanzania wengi ni wajinga halafu unakaa hapo unategemea utapata kura zetu.

Tatizo lenu mnataka vyama vya upinzani viende kwa mwendo na uelekeo mnaoweza ku-predict mwisho wake. Wenzenu they are equally competent as your ruling party wanajua lini wafanye lipi ili iweje.
 
Haya utaona matokeo ya kujifanya wajuaje.
 
Back
Top Bottom