Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,097
- 41,716
Well saidMuslims living with Hindus = Problem.
Muslims living with Buddhists = Problem.
Muslims living with Christians = Problem.
Muslims living with Jews = Problem.
Muslims living with Sikhs = Problem
Muslims living with Bahaβis = Problem.
Muslims living with Shintos = Problem.
Muslims living with Atheists = Problem.
Muslims living with Muslims = Big Problem.
This led to:
Theyβre not happy in Gaza.
Theyβre not happy in Egypt.
Theyβre not happy in Libya.
Theyβre not happy in Morocco.
Theyβre not happy in Iran.
Theyβre not happy in Iraq.
Theyβre not happy in Yemen.
Theyβre not happy in Afghanistan.
Theyβre not happy in Pakistan.
Theyβre not happy in Syria.
Theyβre not happy in Lebanon.
Theyβre not happy in Nigeria.
Theyβre not happy in Kenya.
Theyβre not happy in Sudan.
Where are they happy?
Theyβre happy in Australia.
Theyβre happy in England.
Theyβre happy in Belgium.
Theyβre happy in France.
Theyβre happy in Italy.
Theyβre happy in Germany.
Theyβre happy in Sweden.
Theyβre happy in the USA and Canada.
Theyβre happy in Norway and India.
Theyβre happy in almost every country that is not Islamic.
Whom do they blame? Not Islam. Not their leadership. Not themselves.
They blame the countries they are happy in.
They want to change the countries theyβre happy in, to be like the countries they came from where they were unhappy.
Huyu jamaa Aishi miaka mingi Wacha awaambie ukweli
Aah wapi Ni Kwa sbb serikali iliingilia kati laa sivyo alichokipngea mtoa madam ni sahihiKwann nisiwe na uhakika mkuu??
Na hao waislam wengine wahamiaji, wazawa walioko nchi za ulaya na USA wanaoandamana, kuharibu mali na wengine kujitoa muhanga kuua wasio na hatia unawazungumziaje?Majibu umeshapatiwa tayari Na mimi nakuongezea majibu.
Maeneo yote aliyotaja mleta Mada mathalan GAZA,YEMENI huko kote vurugu zao ni za ardhi Na madaraka Sio Dini.
Pia mleta Mada muongo kataja Misri Na Morocco kuwa hawaishi kwa furaha ilhali hizo nchi Zina Maisha mazuri Bongo hamuingii ndani.
Mkakaa Na kusahau kuwa Kuna Haiti,DR Congo,Ukraine,Mexico n.k je hizo nchi ni za waislam??
Mkaisahau UAE,OMAN,KUWAIT,QATAR,BRUNEI,MALAYSIA,INDONESIA,BAHRAIN,EGYPT je hizi Ni nchi za wakristo!????
Shida wakristu wa Bongo mnaharibiwa akili huko makanisani.
Hoja yako inashangaza sana, statistically wanaoongoza kwa kupiga hizo unazoita kelele ni Christians. Mimi nipo ubungo, mtaani kwetu kuna kanisa hapa weekend nzima kuanzia asubuhi mpka usiku ni kukesha na kuimba nyimbo za kuabudu na wanafungulia maspika unasema msikitini kitu ambacho hata saa mbili hakifiki kwa siku nzima?, ukipita njiani unakutana na watu na maspika yao wanahubiri injili tena sehemu zenye michanganyiko ya watu. Kikubwa tunajifunza kuishi kwa pamoja, hii nchi ni ya watanzania na tumeamua kuvumiliana.
Hivi wapinzani wanavyotekwa na kuuwawa hivyo matamko ya chuki dhidi ya wapinzani yasilete matabaka ila hili la kuongea tena kwa kuhoji ilete kero! My brother in Islam tusijitie unyonge yapo mengi ya kukemea na tunaogopa kwakuwa yanafanywa na wenzetu au twanufaika nayo hatukemei, ndo Islam ilivyo?Haijalishi utamuelekeza vipi atakuja na hoja nyingine dhaifu kutetea dai lake kwasababu tayari anakitu anachokitarget. Mambo kama haya ndo bila kujua yanatengeneza mdogo mdogo matabaka katika nchi yetu na kututolea amani hii tuliyokuwa nayo tangu tumepata uhuru. Kuna watu hakuna wanachofikiria zaidi ya udini,
Kuna vitu vingi vinatokea beyond your comprehension ila kwasababu tu kichwani ulishajenga dini X ni tatizo basi kila kitakachotokea wewe utalaumu dini X.
Imbeciles !!!!
mwenzio anazungumzia ni namna gn waislam hamuwez ishi na watu wa imani tofauti na yenu ni tatzo kubwa pia hata nyie kwa nyie hamuwezan we unaleta porojo za migogoro isiyohusiana na dini hiviAchana na Gaza mkuu.
Hapa bongo mbona tunaishi vzr tunakulana dini tofauti....
Qatar ni dini gani??
UAE ni dini gani??
Congo wanaopigana ni waislam??
China Vs Taiwan ni waislam??
Ukraine Vs Russia ni waislam?
Vita ni beyond religious sentiments
Kinacho wafanya kutuita wantanzania wenzenu makafiri ni nini?Achana na Gaza mkuu.
Hapa bongo mbona tunaishi vzr tunakulana dini tofauti....
Qatar ni dini gani??
UAE ni dini gani??
Congo wanaopigana ni waislam??
China Vs Taiwan ni waislam??
Ukraine Vs Russia ni waislam?
Vita ni beyond religious sentiments
Hawo wanaoandamana kwenye nchi ya watu wanastahili Kunyongwa mpaka kufaNa hao waislam wengine wahamiaji, wazawa walioko nchi za ulaya na USA wanaoandamana, kuharibu mali na wengine kujitoa muhanga kuua wasio na hatia unawazungumziaje?
Kafiri maana yake nini mkuu??Kinacho wafanya kutuita wantanzania wenzenu makafiri ni nini?
Namimi najiuliza hao ambao hawaishi Kwa Amani ni waislamu au??mwenzio anazungumzia ni namna gn waislam hamuwez ishi na watu wa imani tofauti na yenu ni tatzo kubwa pia hata nyie kwa nyie hamuwezan we unaleta porojo za migogoro isiyohusiana na dini
Me nimeona hii tuu na Uzi ufungwe.Hapa bongo mbona tunaishi vzr tunakulana dini tofauti....
Wewe ndo unajua ndo naana nimekuulizaKafiri maana yake nini mkuu??
Mimi sijui ndugu yangu. Wewe Kama humjui maana yake kwann unajisikia vibaya?Wewe ndo unajua ndo naana nimekuuliza
Mimi sijui ndugu yangu. Wewe Kama humjui maana yake kwann unajisikia vibaya?
Na wewe kama hujui kwanini kuita Watanzania wenzako makafiri?Mimi sijui ndugu yangu. Wewe Kama humjui maana yake kwann unajisikia vibaya?
ππππWell said
Ila watajifanya wanapinga
Aisee hawa watu ni tatizo
#UPDATES Chad imelaani kauli ya kitisho ya jenerali mkuu wa Sudan kuwa itashambulia viwanja vyake vya ndege, na kuliita ni "tangazo la vita."Wewe umekua brain washed...tumeambiwa tushirikiane nanyi tuishi nanyi kwa wema ili isiwape taabu hata kuja kuwa wamoja wetu
Sijui mpoje....hapo hapo tumekatazwa kushiriki kwenye mambo yenu mfano sikukuu zenu n.k
yani Mimi nisherehekee kufa kwa yesu ilihal Imani yangu inanambia yeye ni katika viumbe ambavyo havijaonja umaut
Hua sipendag mada za kidini na hizi ndo zinaibuaga mijadala ya kihisia na hasira hadi kupelea vita km hamjui
Endeleeni kujifanya mnajua na vingereza vyenu vya darasa la 3
I'm out πΆπΎββοΈπΆπΎββοΈ