JF for life,
jamaa siku zote mi nilikua natamani sana siku1 niwe na mwenza, nimpende kwa dhati ya moyo, tuoane, tuzae watoto, tuishi kwa furaha katika maisha ya ndoa.
Hii imechangiwa sana na baadhi yandoa nilizoona zikiishi kwa furaha na amani tangia nilipopata akili.
Lakinni ndugu zangu hadi hapa nilipo bado sijamwona mtu huyu!! sijampata kwa maneno mengine.
sometime nakua lonely sana, natamani ningekua nae aniliwaze ila siku zinayoyomatu ..........hivi jamani kuna siri gani katika kufall in love??
nina tatizo la kisaikolojia au??
why cant i love??