Why cant i love, Mbona kama nashindwa kutimiza hii ndoto jamani!

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
JF for life,
jamaa siku zote mi nilikua natamani sana siku1 niwe na mwenza, nimpende kwa dhati ya moyo, tuoane, tuzae watoto, tuishi kwa furaha katika maisha ya ndoa.

Hii imechangiwa sana na baadhi yandoa nilizoona zikiishi kwa furaha na amani tangia nilipopata akili.

Lakinni ndugu zangu hadi hapa nilipo bado sijamwona mtu huyu!! sijampata kwa maneno mengine.
sometime nakua lonely sana, natamani ningekua nae aniliwaze ila siku zinayoyomatu ..........hivi jamani kuna siri gani katika kufall in love??
nina tatizo la kisaikolojia au??
why cant i love??
 
hawayuu JF!
jamani naomben tushee experience kidogo. hivi kile kinachoitwa learn to love (kujifunza kupenda) kama nimepatia kiinglish, ni kitu ambacho kinawezekana kweli??
me nimepata hii doubt baada ya kujikuta nimedevelop friendship nawadada tofauti ambao wanasifa za kua wake wazuritu ila hua sikufall kwa hata mmoja.

Inabidi uwaona wataalamu wa mambo ya saikolojia....pia uwe na msimamo​
 
bro hii kitu "learn to love" to love nimejaribu.mwisho wa siku nimeishia kumuumiza mtoto wa watu bure baada ya kurealize kuwa nimeshindwa kumpenda na yeye akijua me nilikua for real.
naiogopa sana kwa sasa manake sipendi kumuumiza mtu.
 
Dear Tasia,
Usiwe na wasiwasi, atakuja tu, mambo mazuri hayataki haraka.
Inawezekana sio matatizo ya kisaikolojia bali mtindo wako wa maisha. Unajichanganya na watu au muda wote uko kwenu na kuzungukwa na wanafamilia yako? Ikiwa ni hivyo, toka kidogo katika maisha hayo. Zamani ilikuwa rahisi kupata mchumba ndani ya familia kama vile marafiki katika familia zenu n.k., lakini siku hizi wengi hawapendi kuoa/kuolewa na watu wa karibu sana ili kuepuka ugomvi wa kifamilia.

Nje ya familia yako, mpenzi/mwenza hatafutwi kama vile tunatafuta nguo bora ya kununua, ambapo unachagua, unajipimisha, ikiwa haikufai unawacha unachagua nyengine. Badala yake, Mpenzi/mwenza hutafutwa kwa kujiweka karibu na watu wa aina unayotaka. Ikiwa unataka mwanamichezo, mwalimu, daktari, mchamungu....jaribu kuwa karibu sana (I mean socialize more yourself) na watu wa aina hiyo. Ikiwa unaona haya kutongoza, elewa kuwa kutongoza si kutamka tu bali kumwonesha mtu kuwa unamjali na kuweka wazi nia yako.

Kila la heri.
 
Mammamia,
nakushukuru sana mkuu.ukweli ni kua kutongoza kwangu sio tatizo hata kidogo.
Lakini nikiri kua ukweli hua sio mtu wa kutka saaana, nikitoka nyumbani 12 asubuhi naenda jo,narudi hom saa 12 au 1. hapo ni tizi kidogo then natuliatu ndani. (kwa kifupi siku huisha hivyo)
nimekuelewa mkuu nitajitahidi sana katika hili.
 
JF for life,
jamaa siku zote mi nilikua natamani sana siku1 niwe na mwenza, nimpende kwa dhati ya moyo, tuoane, tuzae watoto, tuishi kwa furaha katika maisha ya ndoa.

Hii imechangiwa sana na baadhi yandoa nilizoona zikiishi kwa furaha na amani tangia nilipopata akili.

Lakinni ndugu zangu hadi hapa nilipo bado sijamwona mtu huyu!! sijampata kwa maneno mengine.
sometime nakua lonely sana, natamani ningekua nae aniliwaze ila siku zinayoyomatu ..........hivi jamani kuna siri gani katika kufall in love??
nina tatizo la kisaikolojia au??
why cant i love??

...Relax!

Only when the time is right ...

Wengi wameoa/olewa lakini wanatamani sana wangekuwa na mwenza wampendae kwa dhati ya moyo, waishi kwa furaha katika maisha ya ndoa yao na watoto wao.

Relax, muda wako haujakufika bado.
 
Nashindwa kujua nampa ushauru mdada au mkaka,.....ni vitu viwili tofauti,kaka kuoa au dada kuolewa
 
JF for life,
jamaa siku zote mi nilikua natamani sana siku1 niwe na mwenza, nimpende kwa dhati ya moyo, tuoane, tuzae watoto, tuishi kwa furaha katika maisha ya ndoa.

Hii imechangiwa sana na baadhi yandoa nilizoona zikiishi kwa furaha na amani tangia nilipopata akili.

Lakinni ndugu zangu hadi hapa nilipo bado sijamwona mtu huyu!! sijampata kwa maneno mengine.
sometime nakua lonely sana, natamani ningekua nae aniliwaze ila siku zinayoyomatu ..........hivi jamani kuna siri gani katika kufall in love??
nina tatizo la kisaikolojia au??
why cant i love??

turn down the love songs that you hear
'Cause you can't avoid the sentiment
That echoes in your ear
Saying love will stop the pain
Saying love will kill the fear
Do you believe ?
You must believe.

source: Robbie, firstborn wa mzee William.
 
mkuume hapa sijakuelewa, na kutokana na suaka hili
kua na umuhim sana kwangu, nahitaji kuelewa kila
ninachoshauriwa.
 
mkuume hapa sijakuelewa, na kutokana na suaka hili
kua na umuhim sana kwangu, nahitaji kuelewa kila
ninachoshauriwa.
Mkuu, kwaufupi nilikuwa namaaanisha kwamba mapenzi mara nyingi ni usanii tu, lakini wewe jilazimishe kuamini kwamba sio usanii kwavile hauwezi kuishi bila hiyo kitu.
 
Jaribu kujichanganya kwa kuudhuria shughuli zingine za kijamii.Waweza kukutana na mwalimu atakaekufundisha kupenda.
 
Itakuwa keshapata Huyu tena kanogewa hadi kasahau kuleta mrejesho hapa
 
Back
Top Bottom