kwa wanawake inawezekana rangi ya pink ni kutokana na yale maumbile yao ya kike kwa ndani. sijui nimeeleweka? kwa wanaume hiyo asili ya bluu ni nini?
update:
huko google nako nimesachi lakini unasoma makala mwanzo hadi mwisho unagundua kuwa nao walioandika hizo makala hawana uhakika na asili ya hizo rangi kwa kuzihusianisha na jinsia