LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,167
- 11,220
2020 twende na Maembe mkuu... Acha utotoWanaccm naisi uko ndani hapakariki lipo jambo linaendelea ila mm nasema vyovyote viwavyo nchi hii haimuitaji mtu anae itwa membe hata kidgo.
Tumwache mzee wa chato amalizie msimu wake vyema kwa kweli atatuvusha ila membe aise atatuzika.