Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Hizo ni very weak points kwakweli. kuna zaidi ya hapo
Membe wanamtaka ili arudishe ufisadi Tanzania.

Lissu na Malim Seif wanawataka ili kuja kuvunja muungano na umoja wetu. Tanzania iwe Tanganyika dependent state na Zanzibar irejeshwe tena kwa Sultan wa Oman.
 
Huyo aliyeko madarakani akiondoka nae ataweka MTU kwa gia yyte ile maana ndio desturi ya ccm , labda itokee ugomvi tena kama ilivyotokea kwa jk wakigombana kugombea urais wao kwa wao basi hapo itakuwa sandakarawe yoyote ataunyakua na hatujui atakuwa kiongozi wa aina gani
Nina uhakika kutakuwa na uchaguzi mzuri kwa wana CCM kumteua mgonbea wao kiahalali. CCM ya sasa hivi ina watu ambao wana msimamo kama enzi ya Mwalim Nyerere. Hawana watu wenye longolongo.

Mimi natabiri aidha Dr Harisson Mwakyembe au Mama Samia Hassan Suluhu mmoja wao anaweza akawa mgobea wa urahis wa CCM 2025. Tunaweza kwa mara ya kwanza tukapata Rais mwanamke. Although mimi binafsi my favorite wangu ni katibu mkuu wa sasa wa chama Dr Bashiru. He is a decent man and he has the personal character to be one!
 
Huyu mtu mbona kaamka au ndio mna muamsha aliko lala. Mbona mzee wawatu katulia huko aliko..... hana maneno na mtu.....
 
CIA hawahitaji ushawishi. Wakiona inagusa maslahin yao, au somehow ni threat to america wata react ,Wakitaka wanafanya. Bongo tuna kitu gan labda.ambacho kitafanya CIA ihamishe attention yao kwetu iache kufuatilia mambo mengine ?
mbona tuna vitu vingi vinavyoitaji sema tu hawana ushawishi tz kama wa china

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Benard Membe hawezi kusimama na John Magufuli hata kwa dakika 20. Kazi ya Magufuli inaonkena lakini ya Membe ni kusimulia/kujinadi zaidi, kila Mtu anaamini katika ishara na Vitendo sio rahisi kuwaaminisha Watanzania kwamba Membe anamzidi Magufuli sio rahisi!
Wewe
 
Nina uhakika kutakuwa na uchaguzi mzuri kwa wana CCM kumteua mgonbea wao kiahalali. CCM ya sasa hivi ina watu ambao wana msimamo kama enzi ya Mwalim Nyerere. Hawana watu wenye longolongo.

Mimi natabiri aidha Dr Harisson Mwakyembe au Mama Samia Hassan Suluhu mmoja wao anaweza akawa mgobea wa urahis wa CCM 2025. Tunaweza kwa mara ya kwanza tukapata Rais mwanamke. Although mimi binafsi my favorite wangu ni katibu mkuu wa sasa wa chama Dr Bashiru. He is a decent man and he has the personal character to be one!
Mwakyembe atakuwa kazeeka
 
Wanaccm naisi uko ndani hapakariki lipo jambo linaendelea ila mm nasema vyovyote viwavyo nchi hii haimuitaji mtu anae itwa membe hata kidgo.

Tumwache mzee wa chato amalizie msimu wake vyema kwa kweli atatuvusha ila membe aise atatuzika.
 
Wapo wanafiki katika binadamu, ukiambiwa Yesu walikuwa wsnamshangilia ndio haohao wakamzomea alipoteswa!
Ndivyo wanafiki walivyo kwahiyo ni kuwachukulia walivyo wanyooshwe hata kama walikuwa wanashangilia kinafiki mioyoni wakiumia kuwa deal zao zimekufa.wanyooshwe zaidi maana hii ni vita sasa. wanataka warudishe mtu wao wakufungua milango ya ufisadi na madawa ya kulevya tena.
 
Back
Top Bottom