FRANK UNDERWOOD
Senior Member
- Dec 2, 2014
- 103
- 37
Kisha muulizeni kuhusu dola milioni 7 alizokula za wa Misri....
Kuna kitu kinaitwa kusoma alama za nyakati,msemo huu una maana kubwa na busara sana endapo mhusika atajitambua. Namzungumzia Benard Membe waziri wa mambo ya nje na mtu mpole mpole kama alivyokuwa marehemu kipenzi bibi yangu Kabula. Kwenye siasa za sasa ni vigumu sana marafiki zako kukuambia mwanangu hiyo inshu unayofuatilia imekaa ndivyo sivyo kwani wanahofia watakosa malaji toka kwako. Ukweli ni kwamba kama Mh. Membe unafikri Watanzania wanakufamu basi ni huko Dodoma,Dar na jimboni kwako. Huruma yangu kwa Mh. Membe ni pale uchaguzi utakapoisha na kupotea kabisa umaarufu mdogo alionao na asishangae hata jina langu Ng'wanapagi likawa maarufu kuliko Membe
Mkuu hii imekaaje!!! Twambie una bifu na Mh Membe au?
Kama kuna watanzania wengi wanaofikiri kama wewe basi ujue nchi yetu haitakaa iendelee kamwe. Unazungumzia kumpenda mtu katika karne hii badala ya kuzungumzia ni nini mgombea atakachofanya atakapopata fursa ya kuingia ikulu. Wajameeeni tubadili mwelekeo na upepo wa kisiasa vinginevyo nchi yetu itabaki maskini tu. Eti wengine wanaangalia sura, sijui kabila, udini, ukanda, eeeh kazi kweli. Eti mtu anafananisha mgombea na bibi yake wa kijijini. Hahahahah nimecheka karibu na kuzirai.wajameeni tubadilike.amashikolo mageniKuna kitu kinaitwa kusoma alama za nyakati,msemo huu una maana kubwa na busara sana endapo mhusika atajitambua. Namzungumzia Benard Membe waziri wa mambo ya nje na mtu mpole mpole kama alivyokuwa marehemu kipenzi bibi yangu Kabula. Kwenye siasa za sasa ni vigumu sana marafiki zako kukuambia mwanangu hiyo inshu unayofuatilia imekaa ndivyo sivyo kwani wanahofia watakosa malaji toka kwako. Ukweli ni kwamba kama Mh. Membe unafikri Watanzania wanakufamu basi ni huko Dodoma,Dar na jimboni kwako. Huruma yangu kwa Mh. Membe ni pale uchaguzi utakapoisha na kupotea kabisa umaarufu mdogo alionao na asishangae hata jina langu Ng'wanapagi likawa maarufu kuliko Membe
Kama kuna watanzania wengi wanaofikiri kama wewe basi ujue nchi yetu haitakaa iendelee kamwe. Unazungumzia kumpenda mtu katika karne hii badala ya kuzungumzia ni nini mgombea atakachofanya atakapopata fursa ya kuingia ikulu. Wajameeeni tubadili mwelekeo na upepo wa kisiasa vinginevyo nchi yetu itabaki maskini tu. Eti wengine wanaangalia sura, sijui kabila, udini, ukanda, eeeh kazi kweli. Eti mtu anafananisha mgombea na bibi yake wa kijijini. Hahahahah nimecheka karibu na kuzirai.wajameeni tubadilike.amashikolo mageni
hahaha....he pretend him self to be smart in mind..while in actual sense he is not...
Weka hiyo nukuu maana sijaona hiyo unayoisema, shida nin kuiweka hiyo source hapa kama ipo?na kama haipo umeitoa wapi then?
iyo id imenikumbusha na mansa mussa wa mali
Nani anamchafua Membe? Membe hachafuliwi bali Watu Wanasema Ukweli Mtupu! Yeye Membe ndiye anawachafua watu, Membe ni bingwa Mtetezi wa kuchafua watu ( mkuki kwa nguruwe) kumbe alidhani watu hawajui Madhambi yake? Wewe inaelekea umekunywa Mkojo wa Membe na kukariri kuwa Membe ni Mungu kila analikulisha linatoka Mbinguni.