Why Bagamoyo International Airport will be a white elephant?

Why Bagamoyo International Airport will be a white elephant?

Seriously alitaka kujenga uwanja wa ndege bagamoyo? Anyway sishangai, JPM anajenga Chato int. airport na SGR hadi Mwanza kwa Trillion 7
 
Seriously alitaka kujenga uwanja wa ndege bagamoyo? Anyway sishangai, JPM anajenga Chato int. airport na SGR hadi Mwanza kwa Trillion 7

Cha ajabu maCCM yalimsifia Magufuli kwa kusimamisha ujenzi huo. God forbid (knock on wood), ikitokea mCCM akashinda baada ya Magufuli, akikosoa au kusimamisha ujenzi wa Chato Airport, maCCM yatashangilia! Halafu ati yanawaita watu wa CHADEMA nyumbu! Yaani maCCM yana demonstrate tabia za nyumbu kabisa, yakiongozwa na Mwenyekiti wao aliyezisifia safari za nje za Kikwete, lakini leo anaziponda!
 
Back
Top Bottom