Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
QUOTE=jackbauer:especially bagamoyo" zingatia maneno haya.
'watu wa pwani ni wanacheza ngoma ee'
What the fuss with Bagamoyo? Na mimi nikianza kudai ninakotoka kuwe na vitega uchumi vitakavyojengwa na serikali,tutafika? Kama nilivyoeleza hapo awali,Bagamoyo,Kibaha,Kisarawe na Dar es Salaam ziliunda mkoa wa Pwani,so walichangia vitega uchumi kimkoa. Ivyo kuuliza 'especially Bagamoyo' kunakua redundant. Watu wa Pwani ni wavivu ukatakae ukubali. Husidandie hoja moja ya kucheza ngoma,na kamwe husiwafananishe watu wa pwani na wamasai au wahadzabe. Wapo tofauti sana. The later ni wachapakazi waliokua ivyo kutokana na harsh environment wanayoishi. The former ni wavivu wa kukaa kwny bao au genge!