Why Are You Single?


afadhali nimegain kitu hapa, lakini naanzaje kumtrust mtu tena? hapo ndo mtihani ambao nafail kila siku kwa kweli..
 
Last edited by a moderator:
'''''ooo rabbi usinipe mapenziiii, na wapendwa oooo hakunaaaa"""


Boflo, ni wimbo tuu huo....
 
afadhali nimegain kitu hapa, lakini naanzaje kumtrust mtu tena? hapo ndo mtihani ambao nafail kila siku kwa kweli..

ukiingia kwenye mapenzi, ingia mzima mzima bila kuangalia nyuma.... mambo ya kukumbuka ulivyoumizwa before yatazidi kukutesa na kukutisha tu
 
afadhali nimegain kitu hapa, lakini naanzaje kumtrust mtu tena? hapo ndo mtihani ambao nafail kila siku kwa kweli..

my dear Purple trusting some one is not something easy but you need to trust yourself hoping that umpendaye does the same to you.
 
Last edited by a moderator:
3 inahusika, life partner suppossed to be like my mother...

So I have to wait as 5 nayo inahusika kwa kipind hiki until no 3 ikiwa solved
 
Ngoja nikupe kalike kamoja Boflo leo naona mada yako inahusika ila kwangu pamoja na usingo wangu bado hata moja kati ya hizo kumi hakuna ninayofiti.Kwa ufupi tu mimi nimeamua kuwa singo ili niweze kubana matumizi na kumalizia kibanda changu kule Kinyerezi na kwa kuwa kipo katika hatua za mwisho naona usingo utaendelea kwa muda kidogo maana nimeanza kulipia shamba Mapinga...
 
Last edited by a moderator:
11) Other/none of the above..
 

siwezi kumuamini mtu tena sababu nishaumizwa kwa sanaaaa!!!
 

2.) You're Scared Of Commitment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…