Hii inahusu 'average/mean' voltage na 'RMS' voltage kwa 'sinusoidal waves'
calculation za 'average' ndio zilikua za kwanza kugundulika na kutumika kabla ya 'RMS' ivyo nominal voltages zote zilikua in 'average' na sio 'RMS' i.e; 200V 100V 400V 600V 11kV 30kV 60kV 120kV 200kV ( namba ambazo ni kamili )
makampuni yakawa yanatengeneza vifaa vya umeme/electronics kwa wingi kufuatana na standard nominal voltages ambazo huzalishwa mf; TV rated 220V 50W, au 110V 50W, au motor rated 220V 1HP
miaka ya mbele ndio ikagunduliwa hii 'RMS' ambayo iko :
1. 'effective' zaidi ya 'average', ( hii ndio sababu kuu katika 'AC vs DC voltage comparison' )
2. 'accurate' katika 'power and heat calculations'
RMS voltage = 1.1 x average voltage , 1.1 ni form factor
Kiukweli huwezi badili nominal voltage zilizokua zinazalishwa maana apa vifaa/mashine vya umeme vyote vilivyopo sokoni ilibidi virudishwe virekebishwe katika 'design' na majenerereta/matransfoma/mamota yote yalibidi yarudishwe kiwandani pia, kukwepa hii ndio wakatumia kanuni iyo apo juu kupata RMS voltage kwa kila 'average voltage'
Hapa ndio takataka kama 110,220,33, n.k. zikaanza kutumika, na hakuna mashine/kifaa kilichobadilishwa katika 'design' , ni nameplate/label tu ndio walibadili.
maelezo zaidi
Form factor (electronics) - Wikipedia