Why am I a bachelor?

Wajifunze kutoka kwangu na wewe....penz letu halimbani mtu akitaka kwenda Sawa,anabaki Sawa...
Kikubwa kama anaenda bas aende jumla asirudi tena asije nirudia na magonjwa.Tujifunze kukataliwa😘😘😘 si ulisema Ivo honey?
Ndo maana yake my❤️ hatutaki presha cc....wala hatuoneani wivu wa kijingajinga,tunapeana nafasi,kubwa kila mtu anajitambua na kujua thamani ya mwenzake....sasa nitaachaje kukupenda Kwa mfano!
 
Ndo maana yake my❤️ hatutaki presha cc....wala hatuoneani wivu wa kijingajinga,tunapeana nafasi,kubwa kila mtu anajitambua na kujua thamani ya mwenzake....sasa nitaachaje kukupenda Kwa mfano!
That's it na ndo maisha yanapaswa kuwa❤️
 
Kwa waswahili wenzangu

Sehemu ngumu zaidi katika kuachana kwetuni kukiachilia kipande cha mwisho cha moyo wangu. Sehemu ya kuhuzunisha zaidi si kuwa hatuongei na kupendana tena, ni kuwa hatuongei na kupendana kama zamani. Usiwe na huzuni kisa yamekwisha, kuwa na furaha kwa sababu yaliwahi kuwa yako na yenye kuvutia.

Tutazame sisi kama kioo kilichovunjika, kwa sisi kuachana ni bora kukiacha (kioo) kikiwa kimevunjika kuliko kujiumiza wenyewe kwa kujaribu kukirekebisha. Natamani ningeweza kuyakusanya machozi yote uliyonisababishia nikalia kwa miaka michache iliyopita tangu tumekuwa pamoja, ili niweze kuzama ndani yake. Moyo wangu unauma sana, lakini utapona, kovu ninalolihisi ndani ya moyo wangu daima litabaki kuwa kumbukumbu yetu.

Unasema hukuacha kunipenda, ila uliacha kuuonyesha (upendo). Ulibadilisha maisha yangu, Nilikupenda kuliko yeyote, na niliamini kwa kipindi kirefu kuwa nawe ulinipenda kuliko yeyote. Nataka usonge mbele. Na utakapokutana na yeyote yule, kumbuka hili mpenzi, majani si ya kijani katika upande mwingine kama utasahau kuyamwagilia majani hayo pia.

Nakupenda, huo ndiyo mwisho wa simulizi yetu, usifunge kitabu chako katika mapenzi, ni wakati wa kubadili ukurasa. Sijui kipi kinaumiza zaidi, kuendelea kujua kwamba bado nakupenda na nitaendelea kukupenda kuliko mwengine yeyote na kukukumbuka sana, au kujua kuwa hauwezi kunipenda kama zamani na utakutana na mwingine mpya. Nilifikiri sana jana usiku. Na nimekuja na hii, ni heri niingie kaburini nikiwa nakupenda, kuliko kuishi kila siku bila kulihisi penzi lako.


My take: Mapenzi yanaua sana.
 
To love is to lose, as once they leave you behind, everything comes falling apart.
 
You don’t realize how much you’ll miss that person,
Until.
You actually lose them
 
Every single human being who is alive has felt this kind of pain, hopelessness, and loneliness at one time or another. We are all connected through this shared pain and struggle.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom