idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Oct 8, 2018 #1 Jamaa katurudisha bongo fleva ya zamani ....nimehisi nipo enzi hizo. Heshima kwa Whozu, ngoma imetulia ubunifu mkubwa, inavutia kuusikiliza zaidi na zaidi....
Jamaa katurudisha bongo fleva ya zamani ....nimehisi nipo enzi hizo. Heshima kwa Whozu, ngoma imetulia ubunifu mkubwa, inavutia kuusikiliza zaidi na zaidi....
book11 JF-Expert Member Joined Mar 24, 2017 Posts 700 Reaction score 390 Oct 8, 2018 #2 Huo ndo ukweli.
msafwa93 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 4,840 Reaction score 6,148 Oct 8, 2018 #3 Ndio ushafeli..
fh kwenye beat JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 494 Reaction score 613 Oct 8, 2018 #4 Jamaa simpendi
Mhadzabe JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 3,246 Reaction score 4,755 Oct 8, 2018 #5 fh kwenye beat said: Jamaa simpendi Click to expand... Huendi Mbinguni!
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,775 Reaction score 28,222 Oct 8, 2018 #6 kama humpendi whozu basi... "Huendi mbinguni "...
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Oct 8, 2018 Thread starter #7 book11 said: Huo ndo ukweli. Click to expand... Jamaa alitulia sana, mistari biti hadi video imetulia sana
book11 said: Huo ndo ukweli. Click to expand... Jamaa alitulia sana, mistari biti hadi video imetulia sana
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Oct 8, 2018 Thread starter #8 msafwa93 said: Ndio ushafeli.. Click to expand... Huendi mbinguni....
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Oct 8, 2018 Thread starter #9 Ndio ushafeli huendi Mbinguni huo ndio ukweli. fh kwenye beat said: Jamaa simpendi Click to expand...
Ndio ushafeli huendi Mbinguni huo ndio ukweli. fh kwenye beat said: Jamaa simpendi Click to expand...
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Oct 8, 2018 Thread starter #10 Japo nae alikosa kwenda mbinguni, hapo ndio utajua duniani hakuna aliyekamilika. pancho baby boy said: kama humpendi whozu basi... "Huendi mbinguni "... Click to expand...
Japo nae alikosa kwenda mbinguni, hapo ndio utajua duniani hakuna aliyekamilika. pancho baby boy said: kama humpendi whozu basi... "Huendi mbinguni "... Click to expand...
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Oct 8, 2018 Thread starter #11 Unawaza Urithi wakati mzee kapata nafuu....ndio ushafeli.
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Oct 8, 2018 Thread starter #12 Staili za singeli mnacheza nyimbo za kwaya....huendi mbinguni.
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,300 Reaction score 38,450 Oct 8, 2018 Thread starter #13 Mtumishi unasinzia ibadani, inalia uongo hadi msibani.....huendi mbinguni.
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,952 Oct 8, 2018 #14 Mhadzabe said: Huendi Mbinguni! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhadzabe said: Huendi Mbinguni! Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,706 Reaction score 94,671 Oct 9, 2018 #15 Huendi Mbinguni Mkuu Maana Ushafeli.
Mkwala JF-Expert Member Joined Sep 30, 2014 Posts 1,180 Reaction score 1,277 Oct 9, 2018 #16 Mimi nilikuwa nasikia Binti angu anamwambia Kaka ake "Ushafeli Huendi Mbinguni" kumbe wameshasikiliza huu wimbo.Ngoja nitafute Video yake niangalie
Mimi nilikuwa nasikia Binti angu anamwambia Kaka ake "Ushafeli Huendi Mbinguni" kumbe wameshasikiliza huu wimbo.Ngoja nitafute Video yake niangalie
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 51,961 Reaction score 125,637 Oct 9, 2018 #17 ila jamaa nae akafeli kwenda mbinguni kwa kutazama chura.
funzadume JF-Expert Member Joined Jan 28, 2010 Posts 13,650 Reaction score 21,522 Oct 9, 2018 #18 Vitu vyako unauza bei ya ghali huendi mbinguni
Chief Wingia JF-Expert Member Joined Jul 12, 2013 Posts 2,868 Reaction score 5,104 Oct 9, 2018 #19 MWILI WAKO UMEUCHORA TATTOO
EmmanueldTz JF-Expert Member Joined Dec 29, 2016 Posts 289 Reaction score 266 Oct 9, 2018 #20 Mhadzabe said: Huendi Mbinguni! Click to expand... Watu hoi nimejikuta nacheka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mhadzabe said: Huendi Mbinguni! Click to expand... Watu hoi nimejikuta nacheka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]