Lakasa chika7
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 510
- 1,337
😀😀😀 ndiyo maana wanafuga mashetaniAkaoa tena mwanamke alomzidi miaka sijui 20, si mama ake mzazi huyo? Laana juu ya laana. Amelaaniwa afunuaye utupu wa mama yake.
😀😀😀 ndiyo maana wanafuga mashetaniAkaoa tena mwanamke alomzidi miaka sijui 20, si mama ake mzazi huyo? Laana juu ya laana. Amelaaniwa afunuaye utupu wa mama yake.
Naunga mkono hoja.Ukiwa muislamu akiliyako inaongozwa na majini.
Mleta mada kaongea kuusu YEMEN So aikuwa ya Dini !!!!Madarasa watoto hawalawitiwi ? Juzi tu tumeskia kesi huko Zanzibar
Halafu acha kubadili mada hapa hawajaongelewa mashkhe wala wachungaji
Wametaja maovu ya Muhammad
Lkn sasa na ww tuletee uovu hata mmja wa Yesu ukishindwa jiulize mara mbili kwanini umini dini aliyoleta Muhammad mtu mwenye madhaifu kibao ktka manabii wote waliopita huyu ndio wa mchongo
Sema huwa mko vizuri kwenye swaga za kujifariji, wapi hisbollah? Dawa ya Kobazi huwa anayo Yahudi na USA(Republicans). Hawa huwa hawacheki na wowote..MYEMEN ajawai omba pooo kaaa kwakutulia ayo maombi jielekezee kwako Ata Saudia alikuwa na Kiburi lkn mwisho niyeye akatafuta poooo ilipo !!!!!
na MAREKAN atajulishwa kuwa sio Uchumi tu Anafilisika ata Kijesh kashaisha kabaki na machumachuma na Wapigaji ktk kandalasi za kijesh !!!!!
Nakukumbusha kuna kauli YEMEN wameitumia mwanzo Kuwa Wanamachagua mengi ya kupiga !!!!
So picha wacha liendelee Wale wanaume Washoka Awaitaji maombi yako!!
Hakuna afadhali wote washenzi na dini zenu…!!MPAKWA mafuta na nauliza na Maoskofu kulawiti vitoto vyakiume sio laana ?.??
Mtoto wa kike miaka 8
na wenu walawiti vitoto vyakiume yupi mwenye afadhali kwenye Akili yako????
Kubwa zaid mtoto miaka 8 kwenye madai yako Bado ni mmoja!!!!!
Lkn uku maskofu Wamevilawiti vitoto avina Esabu na kesi zao zipo chungunzima!!!!
kazi kwenu kutaphakali wapi penye afadhali?????????
Tatizo kubwa kwasasa Marekani kabanwa upande wa Air Defence System ukweli uko ndipo kachokaaa sana !!!!!Sema huwa mko vizuri kwenye swaga za kujifariji, wapi hisbollah? Dawa ya Kobazi huwa anayo Yahudi na USA(Republicans). Hawa huwa hawacheki na wowote..
Kumbe na wewe unaabudu kwa kubamiza kichwa sakafuni na ****** juu?Kweli religion is an opium! Ingawa mada imeletwa kishabiki kwa kuwaongelea hao Wahouthi kushambuliwa na hizo ndege za Marekani (tena hii ni baada ya hao Wamarekani wenyewe na washirika wake pia kuingizwa hasara ya kutosha tu na hao Wahouthi)!! From nowhere, kuna watu wanakejeli imani ya watu wengine!
Nadhani hii siyo sawa hata kidogo. Ni vizuri tukawa na ustaarabu wa kuheshimiana kiimani, na pia kuchukuliana.
Kuwa Marekani na washirika wake wamepata hasara!! Hizo hasara takwimu zake umezipata wapi? Marekani kwa wiki mbili sasa inashusha kipondo kwa Wahouth kwa akili yako ndogo wao wanapata faida? Unasema mada nimeleta kishabiki kwani ni uongo? Na video nimekuwekea hapo huelewi kitu gani! Na kuhusu Imani ni nyinyi wenyewe mnahamisha mada na kuleta UDINI wenu wa kijinga!!!!Kweli religion is an opium! Ingawa mada imeletwa kishabiki kwa kuwaongelea hao Wahouthi kushambuliwa na hizo ndege za Marekani (tena hii ni baada ya hao Wamarekani wenyewe na washirika wake pia kuingizwa hasara ya kutosha tu na hao Wahouthi)!! From nowhere, kuna watu wanakejeli imani ya watu wengine!
Nadhani hii siyo sawa hata kidogo. Ni vizuri tukawa na ustaarabu wa kuheshimiana kiimani, na pia kuchukuliana.
Ndio mana tunamwombea rehma za mnyazi saw mungu amrehemuAkaoa tena mwanamke alomzidi miaka sijui 20, si mama ake mzazi huyo? Laana juu ya laana. Amelaaniwa afunuaye utupu wa mama yake.