Mkuu tembea ujionee wewe mwenyewe katika nchi zinaongoza ukiukwaji wa haki za binadamu duniani ya kwanza ni (1) Pakistan ya pili Syria na ya 3 ni Turkey. Na hakuna nchi ya Kiarabu yenye Demokrasia ya ukweli Zote nchi za kiarabu zinaongozwa na utawala wa ki-Dikteat (Utwala wa kifalme) Amka ndugu yangu usipende kitu ukawa kama jogoo anavyomkimbiza kuku ili ampande kazi kwako. Tembea ujionee usingoje kuambiwa.