Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Kiongozi mbaya duniani ni yule anayependa kuwauwa Wananchi wake huyu ni Kiongozi mbaya mimi huwa ninamfananisha sawa sawa na nyoka umfuge siku moja atakugonga Mwenyeezi Mungu atamlipa Rais Bashar Assad kwa yale anayofanya ameen.mfilisti
John Kerry Jana Uswiss alimtuhumu Assad kwa mauaji ya watu wake mwenyewe. Cha kufanya ni China na Russia Kuacha unafiki ili Assad aondolewe kinguvu madarakani.
Inawezekana sote hatuelewi...ila all in all mauaji na ukatili dhidi ya binadamu hayakubalikiunajua unachokitetea mkuu. fuatilia historia itakuhukumu, mwache Asaad atetehe watu wake dhidi ya mkono dhalimu wa mmarekani
Kiongozi mbaya duniani ni yule anayependa kuwauwa Wananchi wake huyu ni Kiongozi mbaya mimi huwa ninamfananisha sawa sawa na nyoka umfuge siku moja atakugonga Mwenyeezi Mungu atamlipa Rais Bashar Assad kwa yale anayofanya ameen.
Inawezekana sote hatuelewi...ila all in all mauaji na ukatili dhidi ya binadamu hayakubaliki
Hakuna watu washenzi katika hii dunia kama waarabu. Wanauwana kama nzi vile.Temea mate chini, hizi ni siasa za kiarabu, kwani wapinzani wanapigana kwa mashada ya mauwa?
Nani kasema kunakubalika?Kula nyama ya binaadamu jee kunakubalika? Fatilia utaona huko Syria kushafanyika na wafanyaji sio jeshi la Asaad!
Ikimaanisha kuwa pande zote ni washenzi.......!Nani kasema kunakubalika?
Mkuu,unajipunguzia "credibility" yako.Hakuna watu washenzi katika hii dunia kama waarabu. Wanauwana kama nzi vile.
Samahani kama nimekuudhi lakini waarabuMkuu,unajipunguzia "credibility" yako.
Hakuna watu washenzi katika hii dunia kama waarabu. Wanauwana kama nzi vile.
Samahani kama nimekuudhi lakini waarabu
Mwenyeezi Mungu amewataja mpaka kwenye Quran kuwa ni watu wenye kukufuru zaidi kuliko watu
wengine duniani Mwarukuni Angalia hizi Video za waarabu...............
Angalia hizo video kisha bado useme wewe unawapenda Waarabu wa Uarabuni kwa tabia zao utakuwa bado wewe huna akili timamu
Katika Bara la asia waarabu ndio wanaongoza kuvunja haki za binadamu duniani kote. Tembea
nchini mwao ndipo utakapo jionea wewe mwenyewe ushenzi wa waarabu huko nchini mwao
uarabuni.
Mkuu tembea ujionee wewe mwenyewe katika nchi zinaongoza ukiukwaji wa haki za binadamu duniani ya kwanza ni (1) Pakistan ya pili Syria na ya 3 ni Turkey. Na hakuna nchi ya Kiarabu yenye Demokrasia ya ukweli Zote nchi za kiarabu zinaongozwa na utawala wa ki-Dikteat (Utwala wa kifalme) Amka ndugu yangu usipende kitu ukawa kama jogoo anavyomkimbiza kuku ili ampande kazi kwako. Tembea ujionee usingoje kuambiwa.Naona hukuifahamu Quran! Tafuta shehe aliyesoma akueleze maana iliyokusudiwa hapo!
Kuhusu picha naona anza kwanza kutizama za waafrika! Wakichinjano ovyo ovyo tu.
Kabla hujageuza watu wengine jigeuze wewe mwenyewe!