Marekani wamefilisika sasa wanatafuta njia ya kupata pesa kutoka Saudi Arabia. Hii story hata mjinga huko DC haikubali. Eti watu wanapanga kumuua balozi wanazungumza kwenye simu kama kawaida, na kila mtu anajua kuwa simu zote hasa za Iran wamarekani wanazisikiliza. Ingine ni kuwa huyu wanae mtuhumu anaishi marekani ni raia wa marekani mwenye asili ya kiirani. Na yule 'drug dealer' aliekuwa aajiriwe kufanya kazi hiyi ni jasusi wa CIA , pesa zilizo semwa US$ 100,000/= ni kidogo sana kwa drug dealer kuchukua kwa kazi yote hii. Huu ni uongo wa machana.
Kumbukeni kwa wamarekani Mandela alikua ni terrorist !!