Who was Iran trying to assassinate? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who was Iran trying to assassinate?

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Oct 12, 2011.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  The Justice Department unsealed a five-count criminal complaint Tuesday alleging Iran-backed agents plotted to assassinate Saudi Arabia's ambassador to the United States and possibly bomb the Saudi and Israeli embassies in Washington, D.C.

  Riyadh's envoy to Washington, Adel Al-Jubeir, is the hand-picked, trusted envoy of the oil-rich monarchy's King Abdullah.


  A non-royal, Al-Jubeir, 49, previously served as the Saudi embassy's congressional liaison and head of the information office (his brother currently serves that role). Educated in Saudi Arabia, Yemen, Germany and Lebanon, Al-Jubeir earned his masters degree from Georgetown University. He joined Saudi Arabia's diplomatic service in 1987.


  The Envoy reported last month that Al-Jubeir personally brought a secret letter from King Abdullah from Saudi Arabia to President Obama at the White House in September. He then left almost immediately for Saudi Arabia again. The White House and Saudi embassy did not disclose what the subject of the correspondence involved.

  [h=2][​IMG][/h] [h=3]Who was Iran trying to assassinate?[/h]
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  This was something, thank God they failed
   
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Rais Muha'mad`jini-jad alitaka sifa hapa,
   
 4. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  No body. America is merely trying to nourish the discord between muslim nations.
   
 5. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  why Muslim nations only?
   
 6. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Very much surprising!.
  Nowadays you never hear about Cuba conspirasy.
   
 7. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,811
  Likes Received: 2,584
  Trophy Points: 280
  Hii stori sijaielewa kabisa . Rais wa Iran is too smart to needlessly provoke Americas wrath.
   
 8. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Marekani & Israel (Freemasons) wanatapatapa (mfamaji haachi....) kwa nguvu za umma zinavyoendelea huko USA.

  Wameona wananchi wao wamestukia kuwa only 1% ambao ndo freemason ndo wana hold uchumi wa taifa zima la marekani kwa manufaa ya Israel.

  Mda si mrefu tutasikia wame-plant issue nyingine kama ya September 11, ili wapate kuwatoa wananchi wao katika jazba/mwamko za kutaka mabadiliko ya kiuchumi.

  Imekula kwao....safari hii mpaka kieleweke..wanawanyonya raia wao kwa manufaa yao (ma-freemasons).


  It will be resolved soon to be 99% for wananchi and 1% for freemasons

  Nguvu ya Umma ni kama kikohozi siku zote haizuiliki..and time of change is NOW.
  [​IMG]
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  H wanted to make a fast one. But God is Great and full of mercies.
   
 10. M

  Mr.Right JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 408
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo eti America tayari wamewaekea vikwazo Iran!!!! Hii plot imepangwa, ili kutengeneza fitna among Muslim nations.

  Kwa nini America na Zion State wanafanya such a UNAFIKI namna hii? Hizi plan zote zinapangwa na Israel na Wamarekani kazi yao ni kuziteleza, ili kujaribu kuwazuia wa Iran wasitengeneze Nuclear power.

  Uzuri ni kwamba Dunia imeshawastukia.
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280

  [​IMG]Arbabsiar (AP)

  A government informant posing as a member of the feared Zetas drug cartel in Mexico helped foil an Iranian plot to kill the Saudi Arabian ambassador to the United States on American soil, the Justice Department says.The informant "posed as an associate of a sophisticated and violent international drug trafficking cartel" who was willing to assassinate the Saudi Arabian ambassador, according to the complaint. Government sources told ABC News

  that the cartel in question was the Zetas. The Zetas have been behind some of the worst violence in Mexico's grisly drug war, including mass beheadings, arson in a Monterrey casino that trapped and killed 52 people
  and themurder of a U.S. immigration agent
  .The complaint says the informant was busted on a narcotrafficking charge in the past and then was flipped by the Drug Enforcement Agency as a source who has helped them make arrests in other drug cases.
  Manssor Arbabsiar, a 56-year-old naturalized American citizen who also had an Iranian passport, is accused of approaching the source thinking he was a member of the drug cartel on the direction of the Iranian military.
  He wired the source $100,000 to a U.S. bank account as a down payment for assassinating the Saudi Arabian ambassador, and said he would pay the rest of the $1.5 million fee later. The government says Arbabsiar said he didn't care if as many as 100 civilians were killed along with the ambassador in the explosion. He traveled to Mexico several times to meet with the informant.
  Tim Padgett at Time Magazine argues that Arbabsiar

  , who used to live in Corpus Christi, Texas, would have had to be pretty stupid to think the Zetas would bomb an American target for only $1.5 million. "The Zetas, after all, are part of a Mexican drug-trafficking, kidnapping and extortion industry that rakes in as much as $40 billion a year," he writes. "To risk that kind of cash flow by carrying out a five-alarm international hit for a million and a half bucks seems a non-starter. It also seems an organization like the Iranian Revolutionary Guard, for whom the Justice Department says Arbabsiar may have been working, should know better. Arbabsiar, who lives near Mexico in Corpus Christi, Texas, certainly should have been wiser."Middle East expert Juan Cole writes on his blog

  that Arbabsiar's patron, allegedly a member of the Revolutionary Guards, may have had a side business in drug trafficking. Cole thinks the plot seemed so amateur that it makes it more sense that it was the work of an Iranian drug cartel angry over the Saudi war on drugs than Iranian government operatives. The Iranian cartel may have been hoping to find new markets for Iran's opium and heroin supply that typically go through Afghanistan.source:Informant posing as drug cartel member foiled Iranian plot | The Lookout - Yahoo! News
   
 12. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Muda mfupi tu bi Clinton anatafuta makundi dunia nzima eti strong message to be sent to Iran. Tatizo dogo na la uwongo la kwao wanataka kulifanya la dunia.Huku kwetu majanga ya mv Spice na njaa yanatutosha.Kama wana uwezo waende peke yao wakapigane na adui yao.
  Zaidi ni kuwa ni plot tu mbona imekuwa kama ndio imetendeka.Ajabu ni kuwa enzi hizi Marekani inagundua mipango yote ya hujuma tangu shoe bomber,car bomber, .........Uwongo binadamu anayetaka kufanya kitu kweli hakamatwi katika kila jaribio.Ukweli ni kuwa hakuna hayo majaribio.Ni hadithi ovu tu.
  Wacheni kujikanyaga.Watu wazima ovyooo!

  Huyu eti ni underpant bomber.

  [​IMG]
   
 13. P

  Percival JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2011
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,567
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Kufilisika kuwanaweza leta balaa, hizi ni njama za USA tu kutaka kuzua majanga huko mashahariki ya kati.
   
 14. Gamba la Nyoka

  Gamba la Nyoka JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2011
  Joined: May 1, 2007
  Messages: 6,603
  Likes Received: 6,770
  Trophy Points: 280
  Afadhali watu wameanza kuwashtukia hawa Wamarekani!, these guys are liars and killers they will do anything to materialize their evil goals!. hawa watu sijui wanafanya blood sacrifice kwa mashetani ili waendelee kuwa masuperpower ndiyo maana vita kwao haziishi?
   
 15. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Binadamu wa kawaida hawi muongo kiasi hiki.Na kwa muongo wa kawaida akishtukiwa na watu huufyata kwa muda kuficha aibu yake.Watu pekee wenye tabia kama hizi ni mabaradhuli (gays).Ukiwatukana au wakitusi mtu kaa pembeni hawazuiliki.Marekani katika madai ya njama za kigaidi haikomi.Ikimaliza hili wanazusha jengine
  Karibuni hivi hawa walaanifu wameruhusiwa moja kwa moja katika jeshi lao.Matokeo yake ndio madai ya kiha.....kama haya. Huyo prince wa Saudia aliyetaka kuuliwa ni kama hao na jilevi kubwa.Nina wasi wasi na Obama na mflalme Abdalla walioongea jana.
   
 16. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #16
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ...still any reason to trust Americans? It's no longer a dumb world.

  (...kuna sababu yoyote ya kuwaamini Wamarekani leo hii? Dunia ya leo si ya mazezeta wa kulishwa propaganda tena)
   
 17. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Uko sawa kabisa mkuu,
  Kwanza kabisa hakuna aiyejua kuwa USA and Israel are run by Freemasons

  USHAHIDI KWA WASIOJUA:
  (a) Ushahidi ya kuwa USA inaongozwa na freemasons (1% waloshikilia uchumi wa taifa zima) angalia kwenye ile dola ya USA
  [​IMG]

  SOMA ZAIDI KUHUSU HIZO ALAMA ZA KI FREEMASON KWENYE DOLA
  HAPA Freemasonry and the U.S. One Dollar Bill, Great Seal and Flag

  (b) Ushahidi ya kuwa ISRAEL inaongozwa na freemasons ni ile bendera yao yenye hexagram star
  [​IMG][​IMG]
  Maana ya nyota ya pembe sita ya Masoni;Alama nyingine mashuhuri ya masoni ni nyota yenye pembe sita iliyoundwa kutokana na pembe tatu kuwa juu ya pembe tatu nyingine. Hii pia ni alama ya utamaduni wa Wayahudi na leo hii inaonekana kwenye bendera ya Israel. Inafahamika kuwa kwa mara ya kwanza Nabii Suleiman aliitumia kama nembo. Hivyo basi nyota ya pembe sita ni nembo ya Nabii na alama ya kiungu lakini Masoni wana dhana tafauti. Wao hawaikubali nyota ya pembe sita kama alama ya Nabii Suleiman, bali wanasema ni alama ya itikadi ya kipagani ya Misri ya kale. Makala yenye kichwa 'Allegory and symbols in our Rituals' [Isitiari na alama katika ibada zetu] iliyochapishwa katika jarida la Mimar Sinan, inaelezea mambo mengi kuhusu jambo hilo kama ifuatavyo; mchoro wa alama mbili za pembe tatu moja juu ya nyingine unaonesha kuwa zina thamani sawa. Alama hii inayotumiwa na Masoni inajulikana kama nyota ya Daud, ni mchoro unaotokana na alama moja ya pembe tatu kuwa juu ya alama nyingine ya pembe tatu, leo hii inajulikana kama alama ya Uyahudi na inaonekana katika bendera ya Israel lakini ukweli ni kuwa asili ya alama hii ni Misri ya kale. Nembo hii kwanza kabisa ilitengenezwa na Matempla, ambao waliitumia kama urembo katika nakshi za kuta za Makanisa yao. Hii ni kwa sababu wao ndio walikuwa watu wa kwanza kugundua mambo muhimu kuhusu Ukristo mjini Jerusalem. Baada ya Matempla kusambaratishwa alama hii ikaanza kutumika katika Masinagogi. Lakini kwa Masonri bila shaka tunaitumia alama hii kwa maana ya jumla ya Ulimwengu mzima kwamba ilitokea katika Misri ya kale.

  Pili,
  Katika freemason ili upande cheo lazima uuwe mtu/watu hivyo usishangae marekani na Israel wakiplot mauaji mbalimbali kwa visingizio visivyo na ukweli ndani yake: Mfano:
  Iraq (Weapons of Mass Destruction ikawa Weapons of Mass Disappearance), September 11, NA KADHALIKA.

  To become the wealthiest ($20 million+ club) for a higher position and royalty from the elite, you need to make a human (blood sacrifice). Watch this video. The Illuminati have also sacrificed many celebrities as a human (solstice sacrifice). Watch this video.
  BLOOD SACRIFICES FOR $ & FAME: PART 1, PART 2.
  1. Kanye West - his mom.
  2. Lil Wayne - his father and Static Major
  3. Jay-Z - his nephew.
  4. Damon Dash - Aahliyah
  5. James Prince - Pimp C.
  6. T.I - his Cousin, Dolla
  7. Suge Knight - Tupac
  8. Diddy - Biggie Smalls
  9. Ludacris - Camouflage
  10. Lady Gaga - Lina Morgana
  11. Nicki Minaj - her cousin.
  12. Soulja Boy - his brother.
  13. The Game - Billboard
  14. Eminem - Proof.
  15. 50 Cent - Jam Master Jay
  16. Dr. Dre - Nate Dogg, his son.
  17. Krayzie Bone - Tombstone
  18. KRS-One - Scott La'Rock
  19. Alicia Keys - her friend.
  20. Bill Cosby - his son.
  21. John Travolta - his son.
  22. Eddie Levert - his son.
  23. John Travolta- his son.
  24. Marie Osmond - her son.
  25. Obama - his grandmother.
  26. Heidi Montag - Dr. Ryan
  27. Anna Nicole Smith - her son.
  28. Mary-Kate Olsen - Health Ledger.
  29. Jennifer Hudson - whole family.
  30. Wyclef Jean - his father.
  31. Michael Jordon - his father.
  32. Mike Tyson - his daughter.
  33. Liam Neeson - wife.
  34. Cam'ron - Big L
  35. Jim Jones - Stack Bundles
  36. Queen Latifah - her brother.
  37. Venus/Serena Williams - their sister.
  38. Jackson Family - Michael Jackson
  39. N-Dubz - Father/Uncle/Manager.
  40. Joseph Gordon-Levitt - his brother.
  41. Jesse Jackson - Martin Luther King Jr.
  42. Louis Farrakhan - Malcolm X
  43. Prince - his father.
  44. Jamie Foxx - his grandmother.
  JAMANI HIZI ISHU NI LIVE SIO NDOTO
  NAOMBENI MFATE HII LINK HAPA The Illuminati is real, and it's everywhere, Illuminati blood sacrifices & solstice sacrifices:
   
 18. m

  menny terry Senior Member

  #18
  Oct 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakuu mbona mnakuwa kama mnafikiri kwa kutumia masaburi? Kwa nini mnapenda kushabikia tuu.Mbona mnapima umbali kwa urefu wa pua? Kwanza marekani kufilisika ni kitu ambacho hakitatokea.

  Imewekeza zaidi ya dola tril 5 nje ya marekani hii inamaana dunia nzima inategemea marekani hata china yenyewe.Yanmyotokea sasa ni matatizo ambayo hata robo hayafikii yale ambayo imeshayapitia.

  Dola la marekani ni dola lililojijenga zamani sana toka 1870.kuhusu saudia na Iran hizi nchi zina ugomvi wa miaka na miaka ikumbukwe kuwa saudia ni wasuni na Iran ni washia na ugomvi wao hasa ni juu ya Bahrain ambayo watu wengi ni washia lakini watawala ni wasuni na saudia imekuwa ikiwasaidia wasuni wenzake kila washia wanapo andamana kitu kinachowakera sana Iran.

  Iran ndiyo imekuwa iwahasisha washia wa bahrain waandamane kupinga wasuni.lakini pia kila nchi iran na saudia zote zinataka kuwa super power Middle east. Naona muda umeniishia ila sababu zipo nyingi zinazo wa farakanisha.
   
 19. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Huna lolote!.Wewe ndiye unayewaza kwa hayo madude. Kwani ikiwa Iran wana shida ya kuua wasaudia ni lazima iwafuate walio ndani ya mikono ya Marekani?.
   
 20. N

  Nonda JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Kitu kinakuja hiki.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...