Who wants to be a millionaire on BBC Entertainment

Who wants to be a millionaire on BBC Entertainment

Kalumbesa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,013
Reaction score
356
Wadau hiki kipindi cha "Who wants to be a millionaire on BBC Entertainment" on DSTV nakikubali sana,na ninaamini kwa wale wenye access na DSTV watakipenda pia,nimeamua kushea nanyi wadau,maana kwa kuongeza knowledge kipindi hiki kinahusika sana,kinarushwa kila siku za wiki mida ya saa moja ama saa mbili na nusu jioni.
 
Back
Top Bottom