Who voted for Trump?

Who voted for Trump?

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Posts
17,641
Reaction score
47,660
Hebu tusaidiane jibu la swali toka kwenye hii picha.
 
Attachments

  • 1478960782252.jpg
    1478960782252.jpg
    21.9 KB · Views: 67
Matokeo inaonekana yameshangaza wengi. Sasa kura katoa wapi?
 
Hebu tusaidiane jibu la swali toka kwenye hii picha.
Lakini pia kumbuka aliyepata kura nyingi ni Hillary Clinton na kama ingekuwa siyo haya mambo ya Electoral College Trump asingekuwa rais. Pengine hawa wengi waliompigia kura Hillary ndiyo wanaopiga makelele na kuandama !!!
 
Hata majority votes kamshinda kwa percent ndogo hillary ana over 60 mils plus wakat trump ana 59 mls plus.
Still unaona many did vote him
 
Hata majority votes kamshinda kwa percent ndogo hillary ana over 60 mils plus wakat trump ana 59 mls plus.
Still unaona many did vote him
What? Are you sure you are making any sense? Wanaolalamika ni hawa 60 mill. wa Hillary ndiyo maana inaonekana kuwa malalamiko ni mengi sana.

Kama isingekuwa Electoral College nani leo angekuwa rais?
 
The Silent Majority showed their protest in the ballot box..........The 50% who never showed up are now looting and vandalizing American Cities in the name of ''Constitutional Right''
 
Wamarekani wenye ubaguzi.
ambao majimbo yao yana kura nyingi.
 
Hebu tusaidiane jibu la swali toka kwenye hii picha.
1479011574357.png
Huyo ni mtoto wa will smith ndo amepost hyo picha.ni picha yenye maana kubwa na tafsiri pana sana.jiulize kwanini hyo barabara mbele hakuonekani?
 
Back
Top Bottom