who run the world?

najua wanaume hampendi hii ki2 but ukweli ndo huo we run the world
Aah wapi!money,faranga,cheddar,mkwanja makes the world go round,nikiwa na wewe siwezi pata pesa but nikiwa na pesa naweza pata wewe bila tabu.
 
Kweli wanawake 'mkiwezeshwa' mna-run tha' world.kibaya zaidi kwenu mnasubiri wanaume ndo' wawawezeshe.
 
Back
Top Bottom