king gold chain
Member
- Jul 15, 2017
- 61
- 20
How are you guys I saw asking for any one who knows to put FRP lock to the smartphone
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??Karibu jamii forums
Mkuu pole sana. Ila hongera kwasbb unakubalika.We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??
Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...
kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..
Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..
ACHA WIZI WA KUIBA AVATAR ZA WATU
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sas ni kwa cm za aina zoteh?ukieka lockscreen ya aina yoyote iwe pattern, password, fingerprint etc automatic frp ina activate, mtu akiformat itamhusu. hakikisha tu unakumbuka gmail yako.
simu za kisasa zenye androids mpya, kuanzia android 5 (lollipop) kupanda juu.