Who is the greatest villain of all time ( Yupi ni Adui yako pendwa wa muda wote katika movie zote ulizowahi kuziona)

Hii ni movie pekee bora ya kininja iliyotengenezwa vizuri Tz (i say i) ilikuwa wayback!.
Yule jamaa wa misukosuko ndio aliyeigiza mule. Kisa kikihusu Jamaa alikuwa ni inspekta wa polisi akapewa kazi afuatirie genge la wauza madawa, kumbe hili genge lina maninja bana. Walimfata bar wakampa kipigo takatifu, na ile style yao ya kupotea!. ikabidi jeshi limpeleke akafundishwe uninja na yeye, baada ya hapo akaanza watafuta!.

Prey ni kisa cha kweli kilichoitokea familia fulani huko mbugani South Afrika, simba walipofanya yao!. Lions of Tsavo ni historia ya ujenzi wa reli ya waingereza huko mbuga za Tsavo-kenya, wazungu walipokutana na simba wajanja!.
Kuna movie nyingi sana za SIMBA sema nimesahau majina yake ila kile kiumbe ni 'killing machine' asikuambie mtu!.
Hiyo ya kibongo sijaiona. Ila hiyo prey nimeicheki zipo kama 3 hivi. Nadhani nilikua darasa la saba 20....
Kuna muvi ilichezewa Burundi inaitwa Gustavo kama sijasahau ya mamba. Umeiona?
 
Inaitwa PRIMEVAL kama sikosei ila mamba ndio anaitwa GUSTAVO na imechezewa ziwa Tanganyika.Star wake yule kaka wa michael kwenye PB!.
si ndio hiyo ulikuwa unaimaanisha?.
 
Hiyo hiyo. Hii na anaconda vilinifanye niogope kwenda kuoga bwawani nilipokua mdogo.
Afu nikaonaga kipindi cha nyoka wa maji kwenye Nat Geo ndio nikaacha kabisa kuogelea
Kuna movie fulani hv sikumbuki jina lakini ni ya mamba hv kuna scene fulani hv mwana anakimbizwa na mamba anafanikiwa kumkwepa alafu anamtukana kwa middle finger mamba anaruka anamchukua mzima mzima anaacha kiatu tu mwana 😂😂😂
 
Hii ni movie pekee bora ya kininja iliyotengenezwa vizuri Tz (i say i) ilikuwa wayback!.
Yule jamaa wa misukosuko ndio aliyeigiza mule. Kisa kikihusu Jamaa alikuwa ni inspekta wa polisi akapewa kazi afuatirie genge la wauza madawa, kumbe hili genge lina maninja bana. Walimfata bar wakampa kipigo takatifu, na ile style yao ya kupotea!. ikabidi jeshi limpeleke akafundishwe uninja na yeye, baada ya hapo akaanza watafuta!.

Prey ni kisa cha kweli kilichoitokea familia fulani huko mbugani South Afrika, simba walipofanya yao!. Lions of Tsavo ni historia ya ujenzi wa reli ya waingereza huko mbuga za Tsavo-kenya, wazungu walipokutana na simba wajanja!.
Kuna movie nyingi sana za SIMBA sema nimesahau majina yake ila kile kiumbe ni 'killing machine' asikuambie mtu!.
Jambazi Seba staa J plus . Kuna shamba ndogo na Shamba kubwa kitambo niliona miaka 99 nilicheki
 
Cary-Hiroyuki Tagawa villain kwenye Showdown In Little Tokyo.
images
 
Back
Top Bottom