Mtu wa maana kabisa wewe๐ฅHarmful Mr Q Vincenzo Jr Guacamole Ndege Tai Lavit
rip faza_nelly Living Pablo na crew ya majobless pro max Intelligent businessman Edo kissy Thecoder Selikavu Razorblade
Jaman shukran ๐๐
Sio kwel๐ mi huwa namuona ni mpole
I secondedNitaanza na hawa dosho12 Vincenzo Jr
Hawa jamaa wapo active ila sijawah kuona wanafanya ukorofi humu.
Wataje wengine๐ซต
Kushika shavu ๐น๐น๐นNina fokasi na nini vile?
Haya mambo ya kutaja shavu kila saa unaleta njaa sasaKushika shavu ๐น๐น๐น
Ila badilisha timu ya kushabikia ๐Jaman shukran ๐๐
Kushika shavu si ndo mwanzo wa kuzama kkoo shimoni min me ๐น๐น๐นHaya mambo ya kutaja shavu kila saa unaleta njaa sasa
aiseWewe mtu wa fujo kundi moja na Mcmillan de Maghayo The Mongolian Savage tofauti yenu ni moja wewe dishi Zima wakati yeye ni loose Nut
Tulia hivyo hivyo usimwage mchele kwa kuku wengi , kwa sababu friji lako kugandisha ndio mtihani ๐คKushika shavu si ndo mwanzo wa kuzama kkoo shimoni min me ๐น๐น๐น
Acha hizoIla badilisha timu ya kushabikia ๐
Man UTD for everybody ๐ฅ๐ฅIla badilisha timu ya kushabikia ๐
Kama haupo uzi ni batili bwasheeInasikitisha sana
Walete hao Arsenal tuue๐ฅMan UTD for everybody ๐ฅ๐ฅ
Mti wenye matunda lazima upigwe mawe ๐Kama haupo uzi ni batili bwashee
๐๐๐ kipigo cha mbwa mpaka tuwavunje na shingo kabisaWalete hao Arsenal tuue๐ฅ
Hata malimao nayo ni matunda bwasheeMti wenye matunda lazima upigwe mawe ๐