Who is The Best Lady Here?

Atajuaje huyo cha ushambengaaa! Ampigie mode acheki IP Adress manake hivi hivi hata umwambie mara 100000000000 hana atalo ambulia,! Karibu gahawa na gashata!

ni gashata ama kashata?
 
tumekumis walitokea midume na id za kike

loh tangu umeondoka maajabu mengi sana yametokea

Hahahaaaaa! Najutaaaaaaaa! Ila hao ni mvua za msimu wanatmba wiki mmoja wanapotea, THE TRUE JF SUPER STAR NIPO MWAKA WA 2 SASA SISHUKI KWENYE CHATI WATASUBIRI SANAAAA,!

Wamekuja watu na kupotea sie wakongwe tumejaaaa teleeeee hatutikisiki?

I was so busy nilikuwa sinamda wa kuingia japo WIFI ya bure ila mda unabana! Mzima wewe?
 
miss neddy upo totooo? Niliona kwenye Ban full kunitetea! Hahahahaaa! Nilichekaje sasa?
 
Last edited by a moderator:

mimi mzima sana
daima simama kama wewe umu

TATIZO (wanakukubali kimya kimya)
 
hahah we wale mliofurumushwa pm nini na lara moko
Screen shot za pm zinkuja kama NILIVOAHIDI! Nasubiri modes wajisahau afu naangusha dude! Hawawwzi kunihujumu nifungiwe afu wachonge ngenga! Japo Lara 1, 2,3,4 waliwatia akili ola bado lazima nilipe kisasi!
 
mimi mzima sana
daima simama kama wewe umu

TATIZO (wanakukubali kimya kimya)
Mimi najulukikana kwa ukweli na uwazi hilo haina ubishi kabisaaaa! Na im a free thinker! Afu kuna vipimo quantitative kama LIKES, rep power, na vitu kama hivo wala hmna hja ya kuuliza maswali yenye jibu!
 
Screen shot za pm zinkuja kama NILIVOAHIDI! Nasubiri modes wajisahau afu naangusha dude! Hawawwzi kunihujumu nifungiwe afu wachonge ngenga! Japo Lara 1, 2,3,4 waliwatia akili ola bado lazima nilipe kisasi!
hahaha naisubiri hiyo movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…