Naomba kama kuna anayefahamu historia ya Askofu anifahamishe kidogo,maana sijawahi kusikia chochote kibaya kuhusu huyu Askofu.
Je ni mmiliki wa gazeti la Msemakweli au Nyakati?
Je ndo mmiliki wa Wapo fm radio?
Ndiyo huyo huyo mmiliki wa WAPO RADIO chini ya WAPO MISSION yakiwemo hayo Magazeti na Huduma ya Hakuna Lisilowezekana
kama nimekosea wengine watakuja kusahihisha.
Ndiyo huyo huyo mmiliki wa WAPO RADIO chini ya WAPO MISSION yakiwemo hayo Magazeti na Huduma ya Hakuna Lisilowezekana
kama nimekosea wengine watakuja kusahihisha.
Agape kule hahusiki pale kuna Mtume Fernandes na Mkewe. Huyo Gamanywa ameshakuwa cheo cha Mkurugenzi wa TACAIDS nadhani ni kile kipindi cha Utawala wa Ben Mkapa.