zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
Dr. Salim Ahmed Salim NI mtu maarufu sana katika UMOJA WA NCHI ZA AFRIKA "AU".. niliwahi kukutana na officials wa AU toka eritria walikuwa wakimsifu sana huyu bwana!.. anastahiki sifa aliwakilisha nchi yetu vizuri alipokuwa nje!.
Kumbe naye sio doctor wa kweli!! Siku zote nilikuwa nafikiri amepitiwa vitabu ndiyo akaitwa dr. Kumbe ni sawa na wajamaa zake tu
Inabidi usubiri atakeyetumwa na Mungu.. kama ni hawa wanaozaliwa na mwana wa Adamu.. I have very bad news to report to you.. none of them is without a spot! Sorry. Utakuwa na muda mrefu sana wa kusubiri.
Mkuu Gamba,
Heshima mbele, tatizo sio CV za viongozi wetu, isipokuwa tatizo ni CV za sisi wananchi wapiga kura, Salim ana CV nzito lakini tatizo ni kwamba urais hauamuliwi na CV peke yake, kwa bahati mbaya pamoja na CV yake kuwa nzito, alishindwa kwenye uchaguzi wa mgombea wa rais wa CCM,
Sasa kama Muungwana tu alimshinda kule CCM, je atawezaje kupambana na kina Freeman, na Lipumba? Na je akikutana na Dr. Slaa sio ndio itakuwa mauti kabisa kwetu CCM! Pole pole ndugu, urais ni pamoja na kushinda uchaguzi,
Salim ni kweli ana CV nzito, na pia ametuweka kwenye ramani ya Dunia politically, lakini tatizo hakuwa na political base nyumbani, kuanzia visiwani mpaka Bara, sasa uongozi wa kubebwa kama wake ulimalizwa na siasa za vyama vingi!
Otherwise, ni kweli CV yake ni nzito sana!
Unayosema ni kweli. Kinachotakiwa ni kwa wale wenye kuipenda nchi kujaribu kumsaidia Salim kutengeneza jumuiya ya wakereketwa ili aweze kushinda uteuzi wa uraisi chamani kwake. For the sake of our country, we really need him.
OyNadhan uyu jamaa ni moja wa best candidates for presidential post! Hana nadharia siasa kali (kama ilivyo kwa wanasiasa wengi nchini)
Ni mtendani na sio mfuata upepo wa siasa katika maamuzi. Kwa fikra zangu tunaitaji mtendaji na si mwanasiasa! Salim A Salim anatimiza hilo.
Mfano wa watendaji wenye kutimiza utendaji wao na sio siasa ni mwakiembe na magufuli! At least they show responsibility.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mheshimiwa CV hiyo ni nzito sana lakini hachaguliwi ng'o kuwa rais kwa sababu yeye ni mwaraabu ndio maana Baba wa taifa alikwama akachaguliwa Mwinyi kwani wajumbe wa BM ya kwanza walikuwepo na waaliapa Mwarabu hashiki madaraka zanzibar au bara.Na hii ndio sababu alikosa ukatibu mkuu UN kwani marekani waliweka veto.Usisahau mmisri Butros alikuwa mwarabu mwenye damu ya Jew.Kumbuka wajumbe wa BM bado wapo zanzibar
Mnamuhitaji wewe na nani?
Tanzania siyo nchi ya Waislamu tuu.
Mmeshapewa ngwe yenu mmetesa, bado hamjaridhika tu?
Mmanga Salim A. Salim itakuwa ni jinamizi kwa Watanzania wasiyo Waislamu...maradufu Mbantu Kikwete.
Hii nchi itakwenda pabaya sana kama ikitokea Muislamu atachaguliwa kuwa Rais 2015.