eti aliisaidia vipi TZ kile chombo ambacho kinataka haki, inaonekana mtu kama wewe ukiwa kiongozi TZ utapeleka kila kitu jimboni kwako. yeye alikuwa kiongozi kazi yake ni kuangalia maswala ya africa na sio TZ peke yake.
muulize mama mongella alivyoribu kuleta zake akazania ni TZ ambako unaweza kufanya kitu bila kuulizwa
Chama cha jamii kina mpango wa kumsimamisha Dr. Salim Ahmed Salim kama mgombea wao wa uraisi ili akabaliane na JK mara kama watafanikiwa kupata usajili wa kudumu. Mkongwe huyu wa siasi za ndani na nje ni mdau mkubwa wa CCJ na anatarajia kujitambulisha rasmi kwa Watanzania kabla ya uchaguzi mkuu...
Source?
Ni kweli jamaa ana CV nzuri lkn ana udini mwingi...................................................
Chama cha jamii kina mpango wa kumsimamisha Dr. Salim Ahmed Salim kama mgombea wao wa uraisi ili akabaliane na JK mara kama watafanikiwa kupata usajili wa kudumu. Mkongwe huyu wa siasi za ndani na nje ni mdau mkubwa wa CCJ na anatarajia kujitambulisha rasmi kwa Watanzania kabla ya uchaguzi mkuu...
Semilong!
All said and done! Charity begins at home!!Hapa Tanzania Salim Mohamed Salim atakumbukwa kwa kitu gani siku akienda mbele ya haki! Ninachokumbuka huyo ALIPEWA udaktari wa heshima sawa na aliopewa JMK aka Matonya kule Nairobi. Huyo Salim alfeli form six kama sikukosea na baada ya mapinduzi akawa Balozi huko Egypt period. From there amekuwa akipaa na akaanguka the same way. Hata huko Unguja hawamtaki for historical reasons!!
Wakati Marehemu Julius Kambarage Nyerere anamnadi kugombea kuwa Katibu Mkuu wa UN alipata taabu sana alipompeleka kwa RAIS wa USA alimwambia point blank kwamba USA haiwezi kumuunga mkono since he only had formal education!!!
Pamoja na kuungwa mkono na China hata Soviet Union (Warusi walimpigia kura ya miguu) kwa hiyo tatizo kubwa lake ni elimu ya kuchomekea na ameshindwa kustand alone mpaka mbeleko imechanika!!!! The end justify the means!!
Tusipoteze muda mwache ajiishie na takrima za huko Darfur na Zain!!! Hivi si ndio hao hao walioilamba TTCL kwa mlango wa Celte!! Kalakabaho!!!!!
"Wanamacha lakini hawaoni" Mkereme kutokana na hii post yako nadhani unachuki tu na SAS, CV yake inasema Salim ana Masters degree kutoka Philadephia USA, unawezaje kupata Masters kama umefeli form six? ni wazi kuwa alifaulu ndio maana akasoma first degree yake kule India. Ni kweli pia kuwa Uguja hawampendi Salim, na ki kweli kuwa ni sababu za kihistoria, kama kweli unaijua vizuri historia ya Zanzibar unguja hawampendi Salim kwa vile tu ni Mpemba na anahusishwa na chama kilichokuwa kiiipinga ASP chama cha HIZBU! Kwa taarifa yako Julius Nyerere hakumbeba Salim kama unavyofikiria, Salim alijipambanua mwenyewe kuwa ni moja ya wazinzibar bora kabisa kama walivyokuwa Abrahaman Babu na Kassim Hanga, ndio maana Mwalimu alicteuwa kuwa balozio kule Misri akiwa bado kijana mdogo tu wa miaka 32! Ukubali au ukatae kwa umri huu mwalimu Kumuamiani ni wazi kuwa alikuwa bora, JK ( muungwana) alikuwa na miaka 45 alipoomba kugombea Urais kwa mara ya kwanza lakini mwalimu alimkataa na kujenga hoja kuwa bado hajakomaa! hebu fikiri miaka 45 mwalimu anasema mtu hajakomaa lakini kwa salim miaka 32 aliona amekomaa, unawezaje sema mtu huyu alibebwa? Ni kweli pia USA walipiga kura ya veto kumkataa wakati anagombea ukatibu wa UN, lakini siop kwa sababu ya elimu yake ila ni sababu ya itikadi zao USA, kipindi kile kulikuwa bado kuna vita baridi kati ya USA na the then USSR, na USA walimuona Salim kuwa ni Mkomonisti ndio maana walipiga kura ya veto, na kama unakumbukumbu zuri hata muwakilishi wa USA kabal ya kupiga kura ya veto alisema...." mimi binafsi nakupenda sana na kukuheshimu, lakini nchi yangu haipendi uwe katibu mkuu..." ( tafsiri ni yangu)! So Mkereme acha kuzusha tu humu ndani wewe kama unachuki binafsi na SAS useme tu!
Chama cha jamii kina mpango wa kumsimamisha Dr. Salim Ahmed Salim kama mgombea wao wa uraisi ili akabaliane na JK mara kama watafanikiwa kupata usajili wa kudumu. Mkongwe huyu wa siasi za ndani na nje ni mdau mkubwa wa CCJ na anatarajia kujitambulisha rasmi kwa Watanzania kabla ya uchaguzi mkuu...
Semilong!
All said and done! Charity begins at home!!Hapa Tanzania Salim Mohamed Salim atakumbukwa kwa kitu gani siku akienda mbele ya haki! Ninachokumbuka huyo ALIPEWA udaktari wa heshima sawa na aliopewa JMK aka Matonya kule Nairobi. Huyo Salim alfeli form six kama sikukosea na baada ya mapinduzi akawa Balozi huko Egypt period. From there amekuwa akipaa na akaanguka the same way. Hata huko Unguja hawamtaki for historical reasons!!
Wakati Marehemu Julius Kambarage Nyerere anamnadi kugombea kuwa Katibu Mkuu wa UN alipata taabu sana alipompeleka kwa RAIS wa USA alimwambia point blank kwamba USA haiwezi kumuunga mkono since he only had formal education!!!
Pamoja na kuungwa mkono na China hata Soviet Union (Warusi walimpigia kura ya miguu) kwa hiyo tatizo kubwa lake ni elimu ya kuchomekea na ameshindwa kustand alone mpaka mbeleko imechanika!!!! The end justify the means!!
Tusipoteze muda mwache ajiishie na takrima za huko Darfur na Zain!!! Hivi si ndio hao hao walioilamba TTCL kwa mlango wa Celte!! Kalakabaho!!!!!
Umenisaidia kuchambua binafsi Salim namkubali na mtu anauzalendo na sio viongozi wengine Tanzania. Wasiwasi wangu akiteuliwa na JK wataendana?? ndio swali naomba wadau mnijibu kama mmesikia hotuba zake na rekodi na itikadi zake sidhani kama wataendana na JK sijui lakini huwezi jua....
Mkereme, sema usemalo na ujualo; Salim ni kati ya viongozi wasafi nchi hii imebakiza! I am skeptical kama atakubali nafasi ya u-VP katika serikali hii iliyojaa uozo.
Hebu turejee hotuba ya Steve Jobs "Jinsi ya Kuishi Kabla Hujafa". Walio na wasiwasi na elimu ya Dr Salim wajionee hiyo video na wasome maoni mbalimbali ya wadau yanayoandamana na hotuba hii. Mimi binafsi nina shahada 4 za chuo kikuu na natafuta ya 5 lakini naamini katika maneno ya huyu jamaa.
Nilisikitika sana na ulimbukeni wa Wa-Tanzania kumkataa Salim 2005. Ni kweli kabisa Mkapa bila haya alimpapalia Kikwete na kumponda Salim ki waziwazi kwa hakika hakumtendea haki.....salim Ahmed Salim Is The Best Presidential Material We Have Ever Losed....basi Tu 2005...tulijitahidi Kuwaelimisha Watu ....but Utafikiri Walipitiwa Na "baby..mla Vichwa"...basi Tena..nafasi Imepotea...,
Mkapa Pia Alchangia Kumuaharibia Baada Ya Kuzidiwa Nguvu Na Mtandao....
To Me Salim Is A Definate Choice!!!