Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,275
Hizo ni habari za kwenye vijiwe tu. Kwa mwaka 1980 kazi ya kuwa katibu mkuu wa UN ilikuwa kubwa kuliko kugombea kuwa rais wa Tanzania. Pia viongozi wengi wa Africa na pia dunia ya tatu walikuwa mbele kumtaka Salim agombee.
Nyerere alifanya juhudi kubwa ili Salim awe katibu mkuu wa UN.
Watu sasa wanatafuta ubaya wa huyu mzee ili wamlaumu; ukweli ni kwamba kwa kiongozi wa miaka ya 60 mpaka early 80, mwalimu alikuwa kiongozi bora sana. tuache kulinganisha na sasa kwenye dunia ya utandawazi. Wakati ule ilikuwa hata ngumu kujua kitu mbali na vile ambavyo wapambe walikuwa wanakuambia.
Ni kweli Nyerere alifanya makosa pia lakini yalikuwa machache ukilinganisha na viongozi wengine wengi.
aliyokueleza yanatosha mpe mda afanye kazi kwanza.
wakati unayatafakari aliyokueleza!!
SAS ni mmoja kati ya wanadiplomasia wazuri mno ambao Tz imepata kuwa nao. Hana makundi ndani ya CCM au nje. Hana tuhuma za kijinga. Kwa Tanzania ya CCM ya sasa asingeweza kuupata Urais bila ya Mwalimu kuwepo. Aliikosa UN akaja kupata OAU.
Mkuu ilikuwa cancun mexicoMkuu Jasusi,
Kuna sehemu kweli nimeandika Nyerere aliwahi kuwa pamoja na Reagan UN? Nafikiri umenielewa vibaya.
Sikumbuki ni mkutano gani lakini haikuwa UN wakati Thatcher na Reagan walipokuwa wanacheka wakati Nyerere anaongelea madeni na kusema nchi maskini zisilipe. Nimeshindwa kukumbuka ilikuwa mkutano gani lakini for sure haikuwa UN.
Hizo ni habari za kwenye vijiwe tu. Kwa mwaka 1980 kazi ya kuwa katibu mkuu wa UN ilikuwa kubwa kuliko kugombea kuwa rais wa Tanzania. Pia viongozi wengi wa Africa na pia dunia ya tatu walikuwa mbele kumtaka Salim agombee.
Nyerere alifanya juhudi kubwa ili Salim awe katibu mkuu wa UN.
Watu sasa wanatafuta ubaya wa huyu mzee ili wamlaumu; ukweli ni kwamba kwa kiongozi wa miaka ya 60 mpaka early 80, mwalimu alikuwa kiongozi bora sana. tuache kulinganisha na sasa kwenye dunia ya utandawazi. Wakati ule ilikuwa hata ngumu kujua kitu mbali na vile ambavyo wapambe walikuwa wanakuambia.
Ni kweli Nyerere alifanya makosa pia lakini yalikuwa machache ukilinganisha na viongozi wengine wengi.
- Mwalimu alituficha wananchi kumjua Salim? Makundi ni siasa za kisasa mkuu kweli Obama bila kundi la leftist angeshinda? Ni the question of what kundi linasimamia kwa sababu hata Salim alikuwa na kundi mkuu yaani kina Butiku, Warioba, Ndejembi na the likes, hata leo ndani ya CCM kuna makundi ambayo hayana ubaya na wananchi, ni wajibu wa anayetaka kutuongoza kujinadi wazi tumjue ni nani na anasimamia nini, si ndio maana ya kampeni au?
Respect.
FMEs!
Kama wewe ni mkristo utakumbuka jinsi Wayahudi walivyomchagua BARABA badala ya YESU siku ile pale misalabani kule Golgotha. Chaguzi zetu ndivyo zitaendelea kuwa hasa wakati huu ambao pesa chafu ziko bwelele!Hapa tuko pamoja mkuu!
Ni kweli kabisa, ila na sisi sijui tukoje!! kweli kabisa kati ya Kikwete na Salim tuliona Kikwete anafaa??
ina maana wewe umezaliwa miaka ya 90?
kama ni kweli basi ishakuwa tatizo lakini bora sasa nishajua...
duh!
again mtoto u nailed......Kwani akiwa mtoto kuna tatizo? Steve Jobbs alisemaga "death is likely the single best invention of life". It's a process in which the old are removed to be replaced by the new. Kwa hiyo...wewe kama unadhani kuwa mzee ni sifa...think again my friend! U r edging closer to being replaced!hahahahahahahaha!
Kama wewe ni mkristo utakumbuka jinsi Wayahudi walivyomchagua BARABA badala ya YESU siku ile pale misalabani kule Golgotha. Chaguzi zetu ndivyo zitaendelea kuwa hasa wakati huu ambao pesa chafu ziko bwelele!
ni maajabu na kweli ...watanzania we were made by mtandao ....kuamini kuwa JANGALA KIWETE IS BETTER THAN ..SALIM ,OR MALECELA OR SUAMYE.....and mwandosya ..who were running together ...would say kikwete is the worst of all,...even including chokalas like who did not make it to the second round....
ni maajabu na kweli ...watanzania we were made by mtandao ....kuamini kuwa JANGALA KIWETE IS BETTER THAN ..SALIM ,OR MALECELA OR SUAMYE.....and mwandosya ..who were running together ...would say kikwete is the worst of all,...even including chokalas like who did not make it to the second round....
SAS ni mmoja kati ya wanadiplomasia wazuri mno ambao Tz imepata kuwa nao. Hana makundi ndani ya CCM au nje. Hana tuhuma za kijinga. Kwa Tanzania ya CCM ya sasa asingeweza kuupata Urais bila ya Mwalimu kuwepo. Aliikosa UN akaja kupata OAU.
Usinichekeshe bwana, JANGALA!!
Hizi habari nili zisikia tu kwa maana zina tokea wengine watoto au hatuja zaliwa.. Nime pata kusikia kuwa miaka ya themanini Salim Ahmed Salim alikua front runner katika kuwa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa. Nikaendelea kusikia kuwa kwa ajili sisi tulikua na mfumo wa ujamaa Warusi wali support Salim kupewa lakini Wamarekani na ubepari waka pinga hili. Ikawa zuta niku vute mpaka waka amua kumpa mtu neutral ambae ange kubalika na Wamarekani na Warusi. Je kuna mwenye taarifa ili kuaje kuaje ili sisi wengine tuelewe vizuri zaidi?