Kimsingi nchi hii inaendeshwa na woga wa watanzania, tumekubali kuwaachia waliopo madarakani wafanye vile wanavyotaka, kama tukitaka kuibadili hali hii, we have that power
Kumekucha: Naona watu tumepata kigugumizi kusema nchi inaendeshwa na kina Rostam
Kumekucha: Naona watu tumepata kigugumizi kusema nchi inaendeshwa na kina Rostam
Kumekucha: Naona watu tumepata kigugumizi kusema nchi inaendeshwa na kina Rostam
Naam Rostam, Manji na Jeetu ndiyo wameshika usukani Kikweteyuko pale kama picha tu ndiyo maana katika mijadala yote mizito ambayo ina maslahi makubwa kwa Watanzania kama ule wa kununua/kutonunua Dowans hakutia neno na mwandishi wake Comical Slava akadai Rais hahusiki kabisa na Dowans naona hahusiki kwa lolote lile. Fisadis wameshika hatamu, inauma sana lakini ndiyo ukweli wa mambo.