Who is Running URT Government? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is Running URT Government?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shadow, Apr 23, 2009.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  It has been a common phenomenon in great part of our great lakes region where by an elected leader is remotely controlled by a ‘group of elites’ and they are de facto the chief executive(s). On the face it looks like a president is the one who is leading the nation.

  For instance [BBC] in Kenya where by … President Kibaki joined the ranks of opposition politics in 1992, he has surrounded himself with a group of close confidants and friends - many going back to his days in college. And it is they who are being blamed by some for influencing his hard-line stance during the ongoing crisis that followed Mr. Kibaki's controversial win.

  Furthermore, in Uganda whereby President Museveni is running the country with his de facto kitchen cabinet, click here for more information: http://www.independent.co.ug/index.php/news/news-analysis/79-news-analysis/739-museveni-govts-family-tree

  Tanzania is not an oasis to this desert of “un-elected leadership”. Take an example that it is well quoted that our president JMK also had created a ten (10) years ambitious project to become the president of the United Republic of Tanzania. Having observed that, it is my presumption that he was not single handedly running this ‘project’ save for the assistance of his associates. My question now is, is these associate de facto executive and run our country behind the scenes? Sometimes, we may blame JMK for his impunities et al and most probably you may find that his hands are tied by the ‘gentleman agreement’ with his associates in the project urais 2005.


  Is there someone who can shed some lights on this puzzle?


  If we have got such ‘de facto’ executives, what ought to be done in our future general elections 2010 and beyond?
   
 2. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kumekucha: Naona watu tumepata kigugumizi kusema nchi inaendeshwa na kina Rostam
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kimsingi nchi hii inaendeshwa na woga wa watanzania, tumekubali kuwaachia waliopo madarakani wafanye vile wanavyotaka, kama tukitaka kuibadili hali hii, we have that power
   
 4. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  Na huu uwoga wetu atatutafuna sana, badala hata ya ku-strike tunapoona vingozi wetu wanafanya maovu, sisi tunabaki kulalamika vijiweni.
   
 5. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Halisi, heshima mbele,

  Naona umemtaja Rostam hapo lakini hao wengine uliowaweka kwenye mabano unaweza kutuwekea hapa barazani?

  Shadow.
   
 6. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bila kumsahau mzee EL! yuko nyuma ya pazia na hilo halijifichi!!!!... kumbuka walianza pamoja kampeni yao ya kuukwaa ukuu!
   
 7. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #7
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  sijuwi nani rais nchi hii..kwa sababu kikwete inaonekana hajasoma katiba akajuwa uzito wa mamlaka yake...watu wanamchezea ndevu....utasema ni askari kweli ...afisa wa jeshi letu tukufu...not really!!!....

  itabidi awe dikteta ...maana ndio kitachofuata...kwa sababu ameshaachia hali imefikia pabaya!!
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Apr 24, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,432
  Trophy Points: 280
  Naam Rostam, Manji na Jeetu ndiyo wameshika usukani Kikweteyuko pale kama picha tu ndiyo maana katika mijadala yote mizito ambayo ina maslahi makubwa kwa Watanzania kama ule wa kununua/kutonunua Dowans hakutia neno na mwandishi wake Comical Slava akadai Rais hahusiki kabisa na Dowans naona hahusiki kwa lolote lile. Fisadis wameshika hatamu, inauma sana lakini ndiyo ukweli wa mambo.
   
 9. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  BAK,

  If that is the case, basi kweli inatia huruma na machungu. Naomba kukuuliza mbona Mzee Mengi kapata kigugumizi kututajia hao mafisaidi kuanzia namba sita mpaka kumi kwa mujibu wa vigezo vyake? au majina yaliyokwenye 'converted coma' yanatisha zaidi?
   
Loading...