wansawa
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 857
- 858
Wenye uweo hao. Ss tuliminyana na fashist mbona hawakutuombea mema? Tena na vikwao juu.Blablablaablaa
Wenye uweo hao. Ss tuliminyana na fashist mbona hawakutuombea mema? Tena na vikwao juu.Blablablaablaa
Yaani uvivu wako wa kusoma ndio unisumbue, nenda google kaitafuteMbona tunawekeana mamlaka kwenye Uhuru wa kusema au nawe unataka kuwa kama #Putin boss kama una hiyo mikataba weka hapa usije kuta nawe unaleta propaganda tu.
Kawaida ya Watz nimeshawazoea unataka niandike kile unachotaka kusikia weweKwa hili andiko lako inaonekana habari na siasa za uchumi wa dunia hii unapata kupitia bbc.
Kumbe nawe Mzee wa google tu nikajua upo pale #Kremlin pembeni ya OligarchsYaani uvivu wako wa kusoma ndio unisumbue, nenda google kaitafute
Point ya Msingi ilijitoa au haikujitoa na Je Hiyo Soviet ipo leo na Je kama Soviet IPO who is Putin or who is Russia Je kuna mkataba kwamba ukitaka kujiunga organization yoyote unayotaka lazima umwombe Putin?Jaribu kusoma historian vizuri..Je Ukraine ilipojitoa kwenye Soviet Union ilikwenda UN kujitambulisha kama nchi guru.tuanzie hapo kwanza...ikilijua hilo ndo uje lawamaa zako...kwa kukusaidia tu ujue Ukraine no nchi ndani ya Urusi.
Type mbaya. Ni hivi wakati tunapigana na amini hao hawaja tuombea mema isitoshe uwezo wanao sisi hali yetu kiuchumi haikuwa njema, mbaya zaidi baada ya vita kuisha tuliwekewa vikwazo sasa iweje ikuletee mawazo.Sijakuelewa hapa mkubwa wangu ulikua unamaanisha nini.
wewe mtoto wa juzi huwezi kujua, unajua madaktari, mainjinia na kada nyingine waliosomeshwa urusi. Unafahamu shule za sayansi zilizokuwa zinapokea walimu toka urusi ambao walikuwa wanamaliza topic kabla ya wakati na kuanza kufundisha topic za mwanzo za chuo kiasi wakawa wanahisiwa wanaiba mitihani.Kumbe nawe Mzee wa google tu nikajua upo pale #Kremlin pembeni ya Oligarchs
Why mnamuinua Putin sana kwa lipi alilolifanya sijawahi sikia hata Siku moja Tz msaada toka #Rusia au labda mnapenda anavyomaliza watoto/wamama huko
Sijawahi kupost kwenye hili jukwaa ila leo wacha nipost baada ya kuona agenda nyingi sana humu juu ya umwagaji damu dhidi ya raia wasio na hatia Ukraine
Sijawahi kupenda vita hata siku moja naamini vita ni hatua ya mwisho kabisa endapo njia zote za kutafuta amani zitashindikana ila Putin hakusubiri hili kwa kujiona ni mbabe akavamia Ukraine na kuanza kudondosha makombora yake.
Baada ya mazoezi ya kijeshi na ndugu yake Lukashenka jamaa anayekiri rais wa Belaraus ni Putin na yeye yupo pale kama mjumbe Putin alikana na kusema ni mazoezi ya kawaida na kusema hana mpango wa kuivamia Ukraine ila suddenly akaanza kuvurumisha Skander zake kule.
Tutambue Ukraine ni nchi huru kamili like Tanzania ana mamlaka kamili ya kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na nchi yoyote ana mamlaka ya kujiunga na Jumuiya yoyote hata akitaka East African Community bila kusumbuliwa na ana mamlaka ya kuchagua Nchi/Mataifa anayotaka kushirikiana nayo.
Sasa ajabu inakuja pale Putin anapotaka kuifanya Ukraine kama mkoa wake au kama Belarus manake Belarus ni kama mkoa wa Putin, Sidhani kama nchi zilizokua zinaunda Soviet zilipiga kura na Kumchagua Putin kuwa rais wao au chief wao no kila nchi ina rais wake na mamlaka kamili
Who is Putin hii vita sio ya Warusia bali ni Vita ya Putin na baadhi ya makamanda wake kwa maslahi yake binafsi propaganda zake ni very weak anataka kutoa Unazi Ukraine na kuharibu uwezo wake wa kijeshi a very cheap propaganda kwenye hii dunia ya Kistaarabu
Putin amekosa ustaarabu anamaliza watoto na wamama wasio na hatia pale Ukraine amebaki kupiga shule, Hospitali viwanja vya mpira, makanisa, nyumba za michezo ya kitamaduni Makombora keshatoka kwenye fake propaganda zake.
Ishu kubwa naya msingi ni kutaka kumtoa rais wa sasa wa #Ukraine baada ya kukataa kuwa kibaraka wake kama Lukashenka.
Binafsi niwape hongera NATO kwa kuamua kukaa mbali na hii vita wamefanya busara za msingi sana ila humu kuna watu kazi yako kuchochea vita mkitaka kujua ubaya wa Vita waaulizeni wanafunzi wa Tanzania waliokua Ukraine.
Kila mtu kwa imani yake aombe kwa ajili ya Amani ya ulimwengu, Tuwaombee Ukraine dhidi ya uvamizi haramu wa Putin na pia Tumwombe Putin.
Ila sio sababu ya yeye Kuua watu wasio na hatia #Ukraine boss sawa sawa baba yangu shikamoo salamu toka kwa kijana wa juzi.wewe mtoto wa juzi huwezi kujua, unajua madaktari, mainjinia na kada nyingine waliosomeshwa urusi. Unafahamu shule za sayansi zilizokuwa zinapokea walimu toka urusi ambao walikuwa wanamaliza topic kabla ya wakati na kuanza kufundisha topic za mwanzo za chuo kiasi wakawa wanahisiwa wanaiba mitihani.
Ila unakwepa mada ambayo inalaani putin kuvamia ukraine
#Hebu nipe hayo makubaliano waliyoingia na Mrusi/PutinDawa ya moto ni moto, usipoziba ufa utajenga-----, Muhuni naye anapigwa kihuni.
Tujifunze kuheshimu makubaliano.
Baba yangu aliyekwambia kuna Ujamaa leo nani wangekua wajamaa wale #Oligarchs wasingekuwepo ogopa kauli kama hizi Wanyonge/Ujamaa kwa dunia ya leo zinatumika na wenye nazo ili wazidi kuchukua hata shs 100 ya mnyongeNchi za kijamaa wakiwa na jambo lao jua 87% ni oyaoya.
Inamaana chaina, Tz, Cuba, na mkuu Putin. Jambo Hilo hakuna tena?Baba yangu aliyekwambia kuna Ujamaa leo nani wangekua wajamaa wale #Oligarchs wasingekuwepo ogopa kauli kama hizi Wanyonge/Ujamaa kwa dunia ya leo zinatumika na wenye nazo ili wazidi kuchukua hata shs 100 ya mnyonge
Dunia ya leo hakuna ujamaa tena baba yangu hawa wachina wanaochukua viwanja vya ndege Zambia kisa wameshindwa kulipa madeni ndio ujamaa unafundisha hivyo ujamaa unasema chako ni chetu labda kwa Tz unaweza kuwa umebaki wewe tu Baba yanguInamaana chaina, Tz, Cuba, na mkuu Putin. Jambo Hilo hakuna tena?
Inaonekana mwandishi hujamfanyia research vizur putin.Sijawahi kupost kwenye hili jukwaa ila leo wacha nipost baada ya kuona agenda nyingi sana humu juu ya umwagaji damu dhidi ya raia wasio na hatia Ukraine
Sijawahi kupenda vita hata siku moja naamini vita ni hatua ya mwisho kabisa endapo njia zote za kutafuta amani zitashindikana ila Putin hakusubiri hili kwa kujiona ni mbabe akavamia Ukraine na kuanza kudondosha makombora yake.
Baada ya mazoezi ya kijeshi na ndugu yake Lukashenka jamaa anayekiri rais wa Belaraus ni Putin na yeye yupo pale kama mjumbe Putin alikana na kusema ni mazoezi ya kawaida na kusema hana mpango wa kuivamia Ukraine ila suddenly akaanza kuvurumisha Skander zake kule.
Tutambue Ukraine ni nchi huru kamili like Tanzania ana mamlaka kamili ya kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na nchi yoyote ana mamlaka ya kujiunga na Jumuiya yoyote hata akitaka East African Community bila kusumbuliwa na ana mamlaka ya kuchagua Nchi/Mataifa anayotaka kushirikiana nayo.
Sasa ajabu inakuja pale Putin anapotaka kuifanya Ukraine kama mkoa wake au kama Belarus manake Belarus ni kama mkoa wa Putin, Sidhani kama nchi zilizokua zinaunda Soviet zilipiga kura na Kumchagua Putin kuwa rais wao au chief wao no kila nchi ina rais wake na mamlaka kamili
Who is Putin hii vita sio ya Warusia bali ni Vita ya Putin na baadhi ya makamanda wake kwa maslahi yake binafsi propaganda zake ni very weak anataka kutoa Unazi Ukraine na kuharibu uwezo wake wa kijeshi a very cheap propaganda kwenye hii dunia ya Kistaarabu
Putin amekosa ustaarabu anamaliza watoto na wamama wasio na hatia pale Ukraine amebaki kupiga shule, Hospitali viwanja vya mpira, makanisa, nyumba za michezo ya kitamaduni Makombora keshatoka kwenye fake propaganda zake.
Ishu kubwa naya msingi ni kutaka kumtoa rais wa sasa wa #Ukraine baada ya kukataa kuwa kibaraka wake kama Lukashenka.
Binafsi niwape hongera NATO kwa kuamua kukaa mbali na hii vita wamefanya busara za msingi sana ila humu kuna watu kazi yako kuchochea vita mkitaka kujua ubaya wa Vita waaulizeni wanafunzi wa Tanzania waliokua Ukraine.
Kila mtu kwa imani yake aombe kwa ajili ya Amani ya ulimwengu, Tuwaombee Ukraine dhidi ya uvamizi haramu wa Putin na pia Tumwombe Putin.
Tafsiri ya ujamaa na kujitegemea ikoje? Je hujui Kama Tz ni mfumo wait? Azimio la kule arachuga lililo asisiwa na mkulu mwitongo nalo hulijui?Dunia ya leo hakuna ujamaa tena baba yangu hawa wachina wanaochukua viwanja vya ndege Zambia kisa wameshindwa kulipa madeni ndio ujamaa unafundisha hivyo ujamaa unasema chako ni chetu labda kwa Tz unaweza kuwa umebaki wewe tu Baba yangu
Hapa ndipo umedhihirisha kwamba wewe ni mweupe tu kwenye history na medani za siasa.Kumbe nawe Mzee wa google tu nikajua upo pale #Kremlin pembeni ya Oligarchs
Why mnamuinua Putin sana kwa lipi alilolifanya sijawahi sikia hata Siku moja Tz msaada toka #Rusia au labda mnapenda anavyomaliza watoto/wamama huko