Who is Putin?

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Sijawahi kupost kwenye hili jukwaa ila leo wacha nipost baada ya kuona agenda nyingi sana humu juu ya umwagaji damu dhidi ya raia wasio na hatia Ukraine

Sijawahi kupenda vita hata siku moja naamini vita ni hatua ya mwisho kabisa endapo njia zote za kutafuta amani zitashindikana ila Putin hakusubiri hili kwa kujiona ni mbabe akavamia Ukraine na kuanza kudondosha makombora yake.

Baada ya mazoezi ya kijeshi na ndugu yake Lukashenka jamaa anayekiri rais wa Belaraus ni Putin na yeye yupo pale kama mjumbe Putin alikana na kusema ni mazoezi ya kawaida na kusema hana mpango wa kuivamia Ukraine ila suddenly akaanza kuvurumisha Skander zake kule.

Tutambue Ukraine ni nchi huru kamili like Tanzania ana mamlaka kamili ya kufanya maamuzi yake bila kuingiliwa na nchi yoyote ana mamlaka ya kujiunga na Jumuiya yoyote hata akitaka East African Community bila kusumbuliwa na ana mamlaka ya kuchagua Nchi/Mataifa anayotaka kushirikiana nayo.

Sasa ajabu inakuja pale Putin anapotaka kuifanya Ukraine kama mkoa wake au kama Belarus manake Belarus ni kama mkoa wa Putin, Sidhani kama nchi zilizokua zinaunda Soviet zilipiga kura na Kumchagua Putin kuwa rais wao au chief wao no kila nchi ina rais wake na mamlaka kamili

Who is Putin hii vita sio ya Warusia bali ni Vita ya Putin na baadhi ya makamanda wake kwa maslahi yake binafsi propaganda zake ni very weak anataka kutoa Unazi Ukraine na kuharibu uwezo wake wa kijeshi a very cheap propaganda kwenye hii dunia ya Kistaarabu

Putin amekosa ustaarabu anamaliza watoto na wamama wasio na hatia pale Ukraine amebaki kupiga shule, Hospitali viwanja vya mpira, makanisa, nyumba za michezo ya kitamaduni Makombora keshatoka kwenye fake propaganda zake.

Ishu kubwa naya msingi ni kutaka kumtoa rais wa sasa wa #Ukraine baada ya kukataa kuwa kibaraka wake kama Lukashenka.

Binafsi niwape hongera NATO kwa kuamua kukaa mbali na hii vita wamefanya busara za msingi sana ila humu kuna watu kazi yako kuchochea vita mkitaka kujua ubaya wa Vita waaulizeni wanafunzi wa Tanzania waliokua Ukraine.

Kila mtu kwa imani yake aombe kwa ajili ya Amani ya ulimwengu, Tuwaombee Ukraine dhidi ya uvamizi haramu wa Putin na pia Tumwombe Putin.
 
Blablablaablaa
 
F**k off your mouth
 
Ukiulizwa mafanikio ya RAIS WA UKRAIN na propaganda zake...

Jibu ni hii post...

Hujiulizi kwanini wamefungia mpaka vyombo vyake(URUSI) vya habari...?

MSEMA PWEKE MSHINDI...na ushindi wenyewe ndio HIZI BLABLA BLA ZA HII POST...
 
Kama umenielewa bila kuangalia Propaganda sipendi vita manake wanaoteseka ni watu wengine kabisa regardless of blah blah from both sides bado kulikua na room ya Kusolve huu mgogoro kwa njia za kiungwana/diplomasia.

Tambua Vita havina macho wanakufa innocent people kabisa.
 
Afadhali usingepost chochote, huwezi kuzungumzia mgogoro wa sasa bila kufatilia mikataba ya marekani, nato wakati wa kumeguka ussr. Zote ulizoandika ni porojo labda kwa sababu mmezoea kusoma habari za diamond na wema.
 
Marekani walipovamia Libya, Iraq etc ulikua wapi? huko walikua wanakufa midoli?
I said from the beginning sipendi vita na huwezi halalisha Uovu kwa Uovu kwamba Marekani Aliua innocent people Iraq or Libya basi na Putin aue watu wasio na hatia Ukraine.
 
Afadhali usingepost chochote, huwezi kuzungumzia mgogoro wa sasa bila kufatilia mikataba ya marekani, nato wakati wa kumeguka ussr. Zote ulizoandika ni porojo labda kwa sababu mmezoea kusoma habari za diamond na wema.
Mbona tunawekeana mamlaka kwenye Uhuru wa kusema au nawe unataka kuwa kama #Putin boss kama una hiyo mikataba weka hapa usije kuta nawe unaleta propaganda tu.
 
Jaribu kusoma historian vizuri..Je Ukraine ilipojitoa kwenye Soviet Union ilikwenda UN kujitambulisha kama nchi guru.tuanzie hapo kwanza...ikilijua hilo ndo uje lawamaa zako...kwa kukusaidia tu ujue Ukraine no nchi ndani ya Urusi.
 
Back
Top Bottom