profesional worshiper
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 536
- 387
Mbona,yule wa nigeria,alipokuja kumtembelea sizonje,hukuhoji kama ni nabii au?
Ukijitokeza kuwa msemaji bila kuogopa, watu wengi waoga watakuletea habari Ili uwe msemaji wao. Kwa utaratibu huo unaweza kuwa na habari nyingi hadi watu watashangaa.Huwa napata sana mashaka na huyu jamaa,saa nyingine huwa nahisi ni spy tena Intetnational Spy...anajua mambo mengi na ana taarifa nyng pia
Amen....Samahani sana mkuu, nliamka na upako ntarudia baadae

Hili nalo nenoUkijitokeza kuwa msemaji bila kuogopa, watu wengi waoga watakuletea habari Ili uwe msemaji wao. Kwa utaratibu huo unaweza kuwa na habari nyingi hadi watu watashangaa.
Hakuna kingine zaidi ya yeye kuwa tayari.
aiseee ndio mana mnataka wasajiliwe wenye Degree na kuendelea humu jf etiiii eeeeh???Yesterday Maalim Seif Sharif Hamad paid a visit to the mentioned prophet above.
Am asking to myself a lot of questions about this Bishop,
Is he really a prophet?
Is he a Politician?
Is he a Spy?
Or a friend like Maalim said to the media?
Who is Gwajima, a man with a lot of information about others,who are his informants?????
Nimemuogopaaaaaaaa, Any clue about Him??????
Hajajua vyeti sasa hivi ni tatizo aandike kwa kibantu tu maana hii lugha nayo hatari tupuEbu rudia uandike kwa lugha ya kibantu aiseeeee........
Huku kwetu hii lugha ulio itumia haijafikaga
Huwa napata sana mashaka na huyu jamaa,saa nyingine huwa nahisi ni spy tena Intetnational Spy...anajua mambo mengi na ana taarifa nyng pia