Who is next??....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is next??.......

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by zumbemkuu, Oct 26, 2010.

 1. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #1
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Kauli ya mheshimiwa anayeondoka madarakani kuwa kuna viongozi wanataka kutumia mii ya watanzania kama ngazi kuingia ikulu inatimia. Marehemu STEVEN KWILASA MASANJA ameingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwa mwili wake kutumika kama ngazi ya kwanza kwenda ikulu. MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI.
  RAIS YEYOTE ATAKAEINGIA MADARAKANI AJUE NGAZI YAKE YA KWANZA KUKAJAGA NI MWILI WA MAREHEMU STEVEN, akiwa JK atambue hilo, akiwa Slaa atambue hilo. Sijui ngazi zipo ngapi………nani anafuata? Mimi au wewe? Wadhani ngazi ingetumika ya Ridhiwani babake angesemaje? Je angekuwa mtoto wa Slaa, angechukua hatua gani?? Au miili itatumika kwa sisi walalahoi tu??

  I am so sorry, ………….so sad!!
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Oct 26, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  wale waliokufa zenji siwahesabu km ngazi maana ilikuwa ajali ya kawaida, Mwenyezi Mungu awalaze mahali pema peponi.
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Originally Posted by LUSAJO L.M. [​IMG]
  Nimepata taarifa kwamba msafara wa Mgombea wa Ubunge kupitia CHADEMA jimbo la Kibakwe wilayani Mpwapwa Kamanda Benson Kijaila Singo umevamiwa na Green Guards wakiongozwa na Kaka wa Mbunge aliyemaliza muda wake na kuua Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina la Lucas Kiwanga na kujeruhi wanachama wengine wa CHADEMA. Hili limetokea leo mida ya saa moja usiku.

  Tutajulishana zaidi taarifa zaidi zikitufikia.  ngazi ya 2 hiyo, sitachoka kusema kuwa kiongozi yeyote atakaeingia ikulu hizo ndo ngazi zake. inauma sana, sijui keso atakuwa nani??
   
Loading...