WHO IS: Gladness Mboma

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,289
781
Wakuu, napenda kumfahamu zaidi mtu huyu, nimeona habari na makala anazoandika katika gazeti la Majira; Mtazamo, uelekeo wake vinanifanya nihoji na kutaka kumfahamu zaidi!
 
Ili iwe nini? Kwa kuwa makala zake zinasema ukweli juu ya unyama uliofanywa na wanachama wa CDM kwa DC-Igunga?

Acha ukweli usemwe......na hao wahuni wenu - I wish ningekuwa na mamlaka, ningewanyongelea mbali.
 
CCM Jiulize: Umeitendea nini Tanzania katika Miaka 50 ya Uhuru wake!
 
Ili iwe nini? Kwa kuwa makala zake zinasema ukweli juu ya unyama uliofanywa na wanachama wa CDM kwa DC-Igunga?

Acha ukweli usemwe......na hao wahuni wenu - I wish ningekuwa na mamlaka, ningewanyongelea mbali.

hapo kwenye red ni ndoto za kiwendawazimu, mamlaka hakabidhiwi mwendawazimu kama wewe!!. pole sana
 
Sidhani kama huyo mwandishi ana hadhi ya kujadiliwa humu.
Nadhani watu makini hajadili hadhi ama personality: huwa wanajadili issues; ziwe zimetolewa na mtu wa kijiweni ama mtu mkubwa serikalini, tasnia ya Dini nk. Vinginevyo I,m afraid WE ARE Fanatics! na kuvumiliana na kuwa wepesi wa kusikiliza hoja kinzani ni uungwana na ukomavu wa kifikra.
 
Bado nina imani kuwa watafika tu wadau wanomfahamu vizuri huyu mtu!
The Vulture is a Patient Bird!
 
Ili iwe nini? Kwa kuwa makala zake zinasema ukweli juu ya unyama uliofanywa na wanachama wa CDM kwa DC-Igunga?

Acha ukweli usemwe......na hao wahuni wenu - I wish ningekuwa na mamlaka, ningewanyongelea mbali.

Mbona umeanza kumhukumu huyu dada? come down and use that thing you are carrying in your skull!
 
Hivi ndo yule alikuwa na Mhe.............jumamosi iliyopita pale Viva Villa Mbezi Beach na Lap top wakicheka na kuandika vitu kwenye lap top au namfananisha?
 
taratibu hapo kidogo mjomba....

Taratibu itaanzia wapi Preta? Huu ni udhalilishwaji dhidi ya watu wa jinsia yako unaofanywa kwenye nchi ya kupigiwa mfano kwa amani na utulivu. Nilitarajia ungeniunga mkono katika kukemea huu uhuni.
 
Ndugu yangu kwanza kemea uhuni unaofanywa na CCM katika chaguzi zote ndipo tutakusikiliza.
 
Nadhani watu makini hajadili hadhi ama personality: huwa wanajadili issues; ziwe zimetolewa na mtu wa kijiweni ama mtu mkubwa serikalini, tasnia ya Dini nk. Vinginevyo I,m afraid WE ARE Fanatics! na kuvumiliana na kuwa wepesi wa kusikiliza hoja kinzani ni uungwana na ukomavu wa kifikra.

A good counsel lakini fanatism ya hawa watu ime-impair hata reasoning yao. Ghafla maisha ya Gladness Mboma yamekuwa muhimu kwa sababu tu ya article moja ya gazeti, kwa vile tu inagusa baadhi ya watu. Sasa utajadili wangapi? Mbona hujaomba wasifu wa Ansbert Ngurumo au Absalom Kibanda?
 
Hivi ndo yule alikuwa na Mhe.............jumamosi iliyopita pale Viva Villa Mbezi Beach na Lap top wakicheka na kuandika vitu kwenye lap top au namfananisha?

Huu ni ufukara wa akili uliopitiliza. Wewe huo mchezo huufanyi?
 
A good counsel lakini fanatism ya hawa watu ime-impair hata reasoning yao.

Sijaona haja ya kumjadili Gladness Mboma kwa sababu kama aliandika maoni yake sioni kwanini aandamwe, wala sikutaka kuchangia jukwaani hapa. Lakini nimelazimika baada ya kusoma uchangiaji mmoja. Sikujua kama alikuwa akiandika kwa Kiingereza au kwa Kiswahili. Ni lugha gani anayotumia yeye? Ni Kiswahili au ni Kiingereza, au ni zote mbili? Ukiamua kutumia Kiingereza usichanganye na Kiswahili, na ukiamua Kiswahili usichanganye na Kiingereza. Huu ni uharibifu wa lugha.
 
Back
Top Bottom