Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,850
- 2,444
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eee za misibaUmetishika sababu nyimbo zake unazisikia kipindi cha bango!?,nazipenda sana nyimbo zake aisee
Wajuz wanasema hazitishi ndivyo zilivyo.Minyimbo take ya misiba na kutisha tisha .
Hata huo wa mahadhi ya kiafrika kaucompose hans zimmer na ule wa now we are free uliotumika kwenye movie ya gladiator ni hans zimmer.She is a Celtic Musician.....
Ameimba wimbo maarufu unaitwa Adiemus wenye mahadhi ya kiafrikaa......Album yake ya Watermark ndiyo imetisha sanaaaaa.
Japo ni kweli huu Music wa Celtic wanasema ni yale mavituzi ya New Age. Yalikuwa yanatumika kwenye kufanya mauguzi miaka ya nyuma.
Kuna kundi jingine wanajiita Cafe Del Mal nao wanaaimba hizi manyimboz, ukisikiliza ni nzuri balaa lakini ukielewa lugha ya picha inayotumika unaweza ogopa kabisaa.....
Nimemsikiliza sana hadi mwaka 2005,
Baadae nikaachana naye na CD zake zipo kama mapambo tu ndani......
But usiogope,
Music is just music my friend......
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mm pia nampenda sana huyu mama, napenda kusikiliza nyimbo zake nikiwa nimerelax home au nikiwa safarini...Umetishika sababu nyimbo zake unazisikia kipindi cha bango!?,nazipenda sana nyimbo zake aisee
Nami nimeusikiliza sana huu wimboKuna moja ya enya inaitwa wild child kiboko duuh...kweli kuna nyimbo tamu adim.
MkuuHata huo wa mahadhi ya kiafrika kaucompose hans zimmer na ule wa now we are free uliotumika kwenye movie ya gladiator ni hans zimmer.
Nyimbo za enya zina touch heart and soul wanapenda zitumia kwenye movie zenye plot za kizamani
Mkuu
Muandaaji siyo Hans Zimmer.
Ameandaa mkali wao bwana Karl Pam Jenkins.
Yeye ndiyo aliwatafuta waafrika wakaimba ile makitu na kuchanganyia na Celtic. Ni wa kitambo kidogo maana umeanza kusikika tangia mwaka 1990's ndiyo wakina Enya wakaurudia kwenye The Watermark.
Kweli mkuu asante kwa kunisahihisha.Mkuu
Muandaaji siyo Hans Zimmer.
Ameandaa mkali wao bwana Karl Pam Jenkins.
Yeye ndiyo aliwatafuta waafrika wakaimba ile makitu na kuchanganyia na Celtic. Ni wa kitambo kidogo maana umeanza kusikika tangia mwaka 1990's ndiyo wakina Enya wakaurudia kwenye The Watermark.
Tuko pamoja mkuu.Kweli mkuu asante kwa kunisahihisha.
Na kuna yule mwingine anaitwa sijui nani hornet naye yuko vizuri
Yah kaimba yeye naipenda sana ile may it be kuna na ile once you had gold na ile only time.Ile sound track ya lord of the ring may it be kaimba yeye. Moja ya wasanii waliovuma sana kutoka Ireland