MACHO YA PAKA
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 205
- 472
Don kama don...wape mashaaavu..
Mzazi don anasomeka vyema kabisaaaa pale wikipedia
Don kama don...wape mashaaavu..
Jamaa anafurahisha, kuna watu humu inabidi tuwashukuru kwa kutufurahisha
We jamaa mkali sana
mimi niliona wimbo wake wa "hapi basidei tuyuuuuu" ameweka na video queens ni hatari na nusuHakuna siku nilicheka kama siku nilipotazama live band ya don akiimba wimbo wa I'm a soldier.
Ukiorodhesha Professions za don unaweza jaza CMD
Mkuu toka 2004 ana viral audio na video...Haya maelezo hapa chini nimeyapanda, yaingizwe kwenye Wikipedia kwa kweli;
"released his debut extended play in 2003 called NIMEPATA DEMU(I GOT A GIRL) in Swahili language, currently he changed to English version and release his debut English version on July 2020 named CONGRATULATION, and a series of singles, including "African Prison", "I don't care" and "Happy Birthday," "Innocent", "Goodbyee(R.I.P)", Dear Mama", "Go away". DJ. DON NALIMISON rose to prominence in 2004 with his single "USIUNYANYAPAE MOYO WANGU(DON'T STIGMATIZE MY HEART)" in Swahili version!", which became a viral music audio and video"
Kumbe akina Kisandu ni watu wa Marekani
😂 😂 😂 😂Don kila siku unajitambulisha
Na itabomolewa kweliMzazi don studio yako ipo sehemu gani nije kubomoa.single yangu?