Naelewa hivyo kaka, but my concern ni kuhusu binti yangu wa miaka 7 kusema analipenda sana hilo jina.
Naelewa hivyo kaka, but my concern ni kuhusu binti yangu wa miaka 7 kusema analipenda sana hilo jina.
Kweli kuna utata hapo.......chunguza.......
Hivi ukimuuliza mtoto unategemea nini?
Hilo ni kawaida tu Kama baba alitaka achaguliwe jina la kiume...
kwa mtoto wa miaka saba? au labda kuna rafiki yake anaitwa somebody Daniel, and she like the way that name sound? Inawezekana ikawa hivyo pia. Asante sana kwa wazo lako zuri.
Hakuulizwa, yeye alidakia tu maongezi. kwanza hata tulikuwa hatujui kama yeye anajua mama yake ana mimba achilia mbali mtoto anazaliwa vipi
kwa miujibu Wa title yako umetaka kujua Daniel ni nani kwa maana nyingine maana ya hilo jina....
mwenzio kakujibu unasema unajua but unataka kujua why binti yako alichagua hilo jina....
umesema mwenyewe mlikaa kujadiliana binti akapendekeza hilo jina sasa tatizo nini??
Angeweza taja lolote tu na jibu sahihi lipo kwa binti yako....
anyway vipi mafunzo ya uchawi hujamaliza mkuu??
Kozi ni ndefu sana. Kwa sasa Nimemaliza kujifunza kuhusu " UCHAWI NA WANYAMA ". Hapa nimjifunza uhusiano uliopo kati ya uchawi na wanyama mbalimbali. Nimejifunza kwa nini wachawi hutumia wanyama, ndege na wadudu mbalimbali katika mambo yao ya kichawi. Nimejifunza matumizi ya kichawi kuhusu wanyama kama bundi, paka, nyegere, fundichuma, mkatasanda(ndege wa kichawi ), kivunja chungu, mbwa, mbuzi, kuku, mjusi nakadhalika.
Kwa sasa naendelea na somo refu na gumu kuhusu TUNGULI NA MATUMIZI YAKE. Kuna zaidi ya aina ELFU NANE za Tunguli. Kwa sasa nimeshajifunza tunguli kama elfu tatu, nimejifunza zinavyotengenezwa, pamoja na kazi yake. Safari bado ni ndefu sana
analirudia rudia
kwa mtoto wa miaka saba? au labda kuna rafiki yake anaitwa somebody Daniel, and she like the way that name sound? Inawezekana ikawa hivyo pia. Asante sana kwa wazo lako zuri.