Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,717
- 2,594
Habari.
Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?
Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, ccm was datoriating every day.
Who is behind ccm success nowadays?
Ukawa wanafanya kwaajili ya ukawa........hata siku moja huwezi ukampa credit adui, never.
Naamin walimpigia magoti mzee sinde warioba, akaunganisha nguvu na akina mkapa, kusekwa bila kumsahau comrade kinana hao wameipa sura mpya ccm itakayopeperushwa na Magufuli
Habari.
Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?
Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, ccm was datoriating every day.
Who is behind ccm success nowadays?
Habari.
Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?
Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, ccm was datoriating every day.
Who is behind ccm success nowadays?
DZUDZUKU, you're very wrong where colour is red in you post. CCM isn't getting strong, it's 'pulling up its socks' instead! They were caught with their pants down by UKAWA.
Yet, CCM has never seen any success ever; in what? UFISADI, KUAMUA MAMBO BILA KUFATA KANUNI, KATIBU MWENEZI KUAHIDI KUFUNGA BAO LA MKONO, BIBI KIROBOTO BUNGENI KUGANDAMIZA WAPINZANI?????????
CCM failures........ Tunawasubiri kwenye ballots.
Komredi Kinana na Nape wamefanya kazi kubwa.Habari.
Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?
Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, ccm was datoriating every day.
Who is behind ccm success nowadays?
Hawa jamaa msingi wao umeegemea kwa PHD holders wa Political Intelligence wako watatu. Hao wadau kwa mara nyingine tena wameiokoa ccm ktk gumu la uchaguzi ndani ya chama.
Habari.
Napenda kujua ni nani ambaye ni think tank/ master mind wa ccm?
Maana kwadri siku zinavyokwenda ccm inazidi kuimarika, tofauti na kipindi cha senior Makamba, ccm was datoriating every day.
Who is behind ccm success nowadays?
DZUDZUKU kama umesoma vizuri Jibu langu ni kuwa Viazi ndivyo vilikuwa zao lake kuu la kibiashara. Mimi sikuhadithiwa bali nimefika pale nyumbani na kukaa kwa zaidi ya masaa manne! NAPAJUA. Hayo mazao mengine kayalima lakini ni kama fundi seremala anavyoweza pia kuwa anauza biringanya!
Ni Prof. Eginald Mihanjo..., kama utakumbuka huyo ndo aliyeileta ile dhana ya CCM kujivua gamba.., na hii ndo iliwazaa akina Kinana na Nape na zile safari zao za kukifufua chama.... !
Habari za huyo kada asiyejulikana sana, ziliandikwa sana kipindi kile
Acha kupotosha, mkakati wa kuvua gamba alianza nao K/Mkuu Wilson Mukama na sio Kinana