Who foots the bill? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who foots the bill?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rev. Kishoka, Nov 1, 2007.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2007
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Just curious,

  Mkutano Mkuu wa CCM is taking place in Dodoma, parallel to Bunge November session.

  Who is footing CCM's bill?

  Let's take Wabunge, they get paid sitting allowance and other expenses. When mkutano mkuu starts, do they continue to get paid using Bunge's purse or it is another Ruzuku kwa CCM?
  Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Raisi and other Wastaafu like Mkapa, Mwinyi, Kawawa and Bilali, does CCM pay back the central government for the costs involved which include Polisi, usalama wa Taifa and other logistics or we will say it is cost of being in power?

  Who authorizes such expenses? Is it Meghji or it is part of money lent to Meremeta, Tangold and Kijani Kibichi Deep Green?

  What will happen if CUF, Chadema, TLP and others will hold the Mkutano Mkuu at same time and same area?

  Why is CCM continue to use taxpayers money to execute its services and personal obligations?

  Just Curious!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 1, 2007
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Because they can, I suppose. But also because we the people let them do that. We don't challenge them. We don't ask them the tough questions. That is why they think and believe they can do whatever they want with impunity. For this kind of nonsense you would expect the masses to be indignant. But where is the indignation?
   
 3. K

  Kalamu JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2007
  Joined: Nov 26, 2006
  Messages: 874
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Rev. Kishoka kauliza swali zuri na mhimu linalohitaji kujibiwa.

  Mbali ya ruzuku ya mabilioni bado chama kinaendelea kuegemea kwenye serikali kwa matumizi yake?
  Hapa naona wanaCCM wanatumia ujanja kuendeleza mipango yao ya kichama kwa kutumia gharama za serikali.
  Tunatarajia washindani watauilza maswali kwa niaba ya wananchi ili tuweze kueleweshwa vizuri.

  Huu ni wizi.
   
 4. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2007
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  CCM wana miradi kibao, kuanzia viwanja vya soka karibu asilimia 80 vya bongo hadi TOT na nyinginezo! Achilia mbali RUZUKU.
   
 5. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2007
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hilo ni swali nyeti. Kama wana miradi yao, basi inabidi, wakiulizwa, wajibu hoja baada ya hoja wakiwa na viambatanisho halisi. Huko ndiko uwajibika.
   
 6. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2007
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  hili suala hata mie nililiuliza kwenye post nyengine. ni suala ambalo tunashindwa kupata jibu kwa mara moja.

  mwenye kujua utaratibu wa hii kitu tunaomba atuarifu
   
 7. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2007
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Well according to Tanzania Daima, they are spending Tsh. 2 bil!
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Nov 2, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,394
  Trophy Points: 280
  Reverend, hivi katika kupata uzito wa swali lako ni kujiuliza pia je CCM walipanga mkutano wao Dodoma tarehe hizi kwa kuangalia Kalenda ya Bunge au Bunge lilipanga kikao chao kwa kuangalia tarehe za mkutano wa CCM ili kuweza kuua ndege wawili kwa jiwe moja?

  Nadhani watu wa Usalama wapo pale katika bajeti yao ya kawaida hawalipwi special. Ila kama mtu ni mjumbe wa mkutano mkuu na ni mbunge ambaye tayari yuko hotelini, je posho yake analipwa ipi kwa siku hizi mbili za mkutano?

  Natumaini mikutano yote ya Kamati za Bunge haitafanyika kesho (ambapo Wabunge hujitengenezea viposho kidogo), lakini wale walio wajumbe wa mkutano mkuu wataenda kupata posho zao toka CCM ila wale wasio CCM kesho hakuna posho!!
   
 9. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2007
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,224
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Tunaambiwa mkutano unafanyika kesho Jumamosi na Jumapili, ina maana hizi ni siku za mapumziko kwa wabunge wetu. Sasa sijajua suala la bili hapa linakujaje, labda nieleweshwe.
  Pili, sisiemu wana miradi mingi mno hapa nchini ya kuwapatia pesa za kugharamia kazi za uchaguzi huu, wana sehemu za kuegesha magari, wanapata ruzuku si chini ya milioni 700 kila mwezi, wanamiiki viwanja vya mpira wa miguu, wana bendi za muziki, vikundi vya saraksi na majengo kibao ambayo yanawalipa vyema (kama jengo la umoja wa vijana pale Lumumba).
  Kwa hiyo si haba, sisiemu shilingi ipo!
   
Loading...