Who do you trust?

Who do you trust?

SAROTA

New Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu wadau? Mie ni mgeni naomba mnipokee kwa kushirikiana kwenye hii mada.

Katika maisha yako ni nani unamuamini zaidi? Mazazi/rafiki ama Mpenzi? Au kuna yeyote ambaye hayupo kwenye kundi hili ambae ndiyo unamuamini?

Nawasilisha.
 
Apart from God.. iyo mada imejumuisha vitu vikubwa labda ungechambua kidogo..uaminifu unategemeana na jambo.. kila mtu ana mipaka yake... kumuamini mtu ni pamoja na kumpa siri zako... maisha yangu yamezungukwa na wote hao.. wazazi nawaamini kwenye mambo ya nyumbani na wana mipaka yao, mpenzi wangu namuamini kwenye mambo ya kimapenzi na rafiki kwenye shughuli tunazoshare..
 
1. Namuamini MUNGU, yeye ndiyo kila kitu katika maisha yangu. 2. Mama yangu, mama siku zote huwa na mwanae ktk shida na raha, haijalishi una umri gani. 3. Pesa, hii inanisaidia kuendesha maisha na kutatua matatizo ya hapa na pale ktk maisha. 4. Jiwe, ukiliweka mahali utalikuta palepale, labda kitu kingine kilihamishe.
 
inatofautiana kati ya mtu na mtu, unafanya utafiti nini?
Mimi najiamini mwenyewe zaidi kwenye mambo mengi, kwenye mambo mengine namuamini mzazi lkn kwenye mengine rafiki kwani uelewa na mambo ni tofauti. Above all God ndiye mwaminifu!
 
swali lako si hadimu
swali lako si shawishi
swali lako si babaishi
swali lako si tamu
swali la kawaida
swali lako jibu rahisi
swali lako jibu lake hili
wote ni binadamu
hamu zao ni sawa
utashi wao hautofautiki
nyongeza yake ni hii
jiamini wewe peke yako
weka imani kwa mwingine leo
kesho keshokutwa utajuta
 
mimi mwenyewe sijiamini!!ije kuwa hao wengine!!
 
huna jipya kima tu wewe.
ha ha ha ha!wewe mwenyewe hujiamini!!ndo maana ukitoa hela mfukoni unazihesabu kwa vile hata mkono wako hauuamini kama umezitoa zote au la!!!
 
Back
Top Bottom