Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Na mimi nimekuuliza. Imani yenu itakuwaje sahihi kabla ya kuthibitishwa?
Nikisema nakuja nyumbani kwako, nikiwa na imani kwamba upo nyumbani, nikafika na kukuta haupo nyumbani umeenda shamba, imani yangu kwamba upo nyumbani ilikuwa sahihi?
Kwa nini ufikiri imani yenu itakuwa sahihi hadi Mungu atakapoonekana wakati imani yenu ina contradiction?
Kiranga anarudia swali hilo hilo moja,alilokwisha jibiwa.Ni kutokana na uelewa wake mdogo.Anachowashinda Kiranga ni kwamba anajua kucheza na logic,you will never win Kiranga arguments unless you are competent enough in logic!
Kasome post no.631Wapi umeniuliza endapo hutojibu kwa kunukuu post yangu imani yangu itakuwa potofu?
Mimi Kiranga nimemkubali ni noma kwenye hii logic argument yake hapaKiranga abarudia naswali hill hill,alilokwisha jibiwa.Ni kutokana na uelewa wake mdogo.
Na mimi nimekuuliza. Imani yenu itakuwaje sahihi kabla ya kuthibitishwa?
Nikisema nakuja nyumbani kwako, nikiwa na imani kwamba upo nyumbani, nikafika na kukuta haupo nyumbani umeenda shamba, imani yangu kwamba upo nyumbani ilikuwa sahihi?
Kwa nini ufikiri imani yenu itakuwa sahihi hadi Mungu atakapoonekana wakati imani yenu ina contradiction?
Sababu nashinda kwenye logic, zaidibya kucheza na logic, ni kusimamia ukweli.Anachowashinda Kiranga ni kwamba anajua kucheza na logic,you will never win Kiranga arguments unless you are competent enough in logic!
Huyo uliyomfuata,hukumkuta nyumbani,lakini utamkuta samba,kwa hiyo yupo,mpaka ukamfuata nyumbani,ni kuwa yupo,kama hukumuona nyumbani utamuona shamba.Mimi Kiranga nimemkubali ni noma kwenye hii logic argument yake hapa........kila mtu amekuwa kimya alivyotoa huu mfano!!
Wewe ndio unajipinga,wasema Mungu hayupo huku watumia vitabu vya Mungu.Sababu nashinda kwenye logic, zaidibya kucheza na logic, ni kusimamia ukweli.
Logic ina tabia ya kupembua uongo na ukweli.
Ukijua logic na kusimama kwenye ukweli, ni vigumubsana kushindwa argument.
Wanaopingana nami tatizo si tu hawawezi kubishana kwa logic, bali hata wangejua, wanasimamia uongo.
Mtu anamtetea Mungu ambaye ana a clear contradiction.
Maanabyake huyo Mungu mwenyewe anajipinga mwenyewe kabla mimi sijampinga.
Sasa Mungu kama huyo atateteeka kivipi?
Sababu nashinda kwenye logic, zaidibya kucheza na logic, ni kusimamia ukweli.
Logic ina tabia ya kupembua uongo na ukweli.
Ukijua logic na kusimama kwenye ukweli, ni vigumubsana kushindwa argument.
Wanaopingana nami tatizo si tu hawawezi kubishana kwa logic, bali hata wangejua, wanasimamia uongo.
Mtu anamtetea Mungu ambaye ana a clear contradiction.
Maanabyake huyo Mungu mwenyewe anajipinga mwenyewe kabla mimi sijampinga.
Sasa Mungu kama huyo atateteeka kivipi?
Wasema Mungu hayupo,halafu watumia vitabu vya huyo unayesema hayupo,kutunga hoja zako.Wanajipinga,huku wasema hayupo,huku watumia vitabu vya ambaye hayupo kujenga hoja.Sababu nashinda kwenye logic, zaidibya kucheza na logic, ni kusimamia ukweli.
Logic ina tabia ya kupembua uongo na ukweli.
Ukijua logic na kusimama kwenye ukweli, ni vigumubsana kushindwa argument.
Wanaopingana nami tatizo si tu hawawezi kubishana kwa logic, bali hata wangejua, wanasimamia uongo.
Mtu anamtetea Mungu ambaye ana a clear contradiction.
Maanabyake huyo Mungu mwenyewe anajipinga mwenyewe kabla mimi sijampinga.
Sasa Mungu kama huyo atateteeka kivipi?
Nilivyomuelewa Kiranga ni kwamba umeamini kuwa fulani yupo nyumbani(sawa na tunavyoamini mungu yupo) na tulipofika tukakuta hayupo.Kosa hapa ni kuamini fulani yupo nyumbani bila kuthibitisha kwanza matokeo yake tumefika nyumbani na hakuwepo!!...Cha kujifunza:Ni lazima na ni muhimu kuzibitisha kwanza kabla ya kuamini na kuchukua hatua!Huyo uliyomfuata,hukumkuta nyumbani,lakini utamkuta samba,kwa hiyo yupo,mpaka ukamfuata nyumbani,ni kuwa yupo,kama hukumuona nyumbani utamuona shamba.
Utaweza kuona najipinga kama hujasoma habari za falsafa tu.Wewe ndio unajipinga,wasema Mungu hayupo huku watumia vitabu vya Mungu.
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "immanent criticism" katika maisha yako yote?Wasema Mungu hayupo,halafu watumia vitabu vya huyo unayesema hayupo,kutunga hoja zako.Wanajipinga,huku wasema hayupo,huku watumia vitabu vya ambaye hayupo kujenga hoja.
Umeshawahi kusikia "Immanent critique?"Utaweza kuona najipinga kama hujasoma habari za falsafa tu.
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "immanent criticism" katika maisha yako yote?
Nimeonesha contradiction katika imani ya Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote ambaye kaumba ulimwengu ambao unaruhusu maovu.Nilivyomuelewa Kiranga ni kwamba umeamini kuwa fulani yupo nyumbani(sawa na tunavyoamini mungu yupo) na tulipofika tukakuta hayupo.Kosa hapa ni kuamini fulani yupo nyumbani bila kuthibitisha kwanza matokeo yake tumefika nyumbani na hakuwepo!!...Cha kujifunza:Ni lazima na ni muhimu kuzibitisha kwanza kabla ya kuamini na kuchukua hatua!
Immanent critiqueUtaweza kuona najipinga kama hujasoma habari za falsafa tu.
Ushawahi kusikia kitu kinaitwa "immanent criticism" katika maisha yako yote?
As if that is something different.Immanent critique
Jibu immanent critique ni niniAs if that is something different.
Unaelewa immanent criticism ni nini?
Immanent critique is criticism from within.Jibu immanent critique ni nini
Ndiyo ulivyoelewa hivyo? Ina maana kwa mfano nataka kwenda kwa rafiki yangu ila kwanza nikampigia simu ili nithibitishe kuwa yupo nyumbani,hivyo baada ya hapo ndiyo natakiwa kuamini kuwa rafiki yangu yupo nyumbani?Nilivyomuelewa Kiranga ni kwamba umeamini kuwa fulani yupo nyumbani(sawa na tunavyoamini mungu yupo) na tulipofika tukakuta hayupo.Kosa hapa ni kuamini fulani yupo nyumbani bila kuthibitisha kwanza matokeo yake tumefika nyumbani na hakuwepo!!...Cha kujifunza:Ni lazima na ni muhimu kuzibitisha kwanza kabla ya kuamini na kuchukua hatua!
Nani kakwambia kumpigia rafiki yako simu ndo njia sahihi ya kuthibitisha kuwa yupo nyumbani!!Ndiyo ulivyoelewa hivyo? Ina maana kwa mfano nataka kwenda kwa rafiki yangu ila kwanza nikampigia simu ili nithibitishe kuwa yupo nyumbani,hivyo baada ya hapo ndiyo natakiwa kuamini kuwa rafiki yangu yupo nyumbani?
Nimekuuliza swali ila ukiona kupiga simu sio njia sahihi basi unaweza kueleza wewe njia sahihi.Nani kakwambia kumpigia rafiki yako simu ndo njia sahihi ya kuthibitisha kuwa yupo nyumbani!!.....Kumpigia simu rafiki yako ili uthibitishe kuwa yupo nyumbani hiyo itakuwa ni njia weak kupita zote katika uthibitisho kuwa rafiki yako yuko nyumbani,asante mkuu nimecheka kidogo hapa nimeongeza life expectancy yangu!