Who could have analysed this?

MTUMENi nzi awaletee mafaili ya mwandiSHI

Enigma.... JF inakuaminia kwa kuleta mafaili nyeti ya watu kama hawa.

nakuunga mkono kwenye hili na nimeagiza corn kutoka southern Iowa ili kupata mpasuko mkubwa na mzuri for this movie in the making.....

..... kazi njema mkulu..........
 

..Prof.Issa Shivji aliteuliwa na Raisi Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania Breweries[TBL].

..Kazi yake ya kwanza kama Mwenyekiti wa Bodi ilikuwa kuchunguza kashfa ya ubadhirifu iliyowahusisha Mameneja waandamizi wa TBL wakati huo.

..Sifahamu uchunguzi wake uliishia wapi, lakini Prof haku-serve term nzima kama Chairman wa TBL.

..Prof.Shivji abakie hukohuko UDSM akibishana na wasomi wenzake. Siasa na Itikadi zake zimepitwa na wakati, haziko-applicable uraiani.
 

kwani Shivji bado hajastaafu toka UDSM?
 
There is one thing we should have done and we haven’t. That was to ask Mzalendo where he got the document from. Where the hell did he get his “quote” from?

We want to know who wrote the article. A good place to start would be to find out where Mzalendo picked it up from. If we work backwards long enough, we are bound to eventually hit on the guy (with a language like that it must be a guy, surely!) who wielded the pen!

Mzalendo: you can’t just dump this thing here and then take a powder; or can you?
 


Kaka acha kudharau cha nyumbani. UDSM kuna wasomi waliobobea kuliko hata hao Media Intellectuals wa CNN na TIMES. Kutopata international coverage haina maana kuwa sio wasomi isipokuwa wengi wao hawako tayari kusema kile ambacho hao makuwadi wa UBEBERU wanavyotaka.

Kama kuandamana ni wanafunzi na wakati wote huwa ni wale wa undegraduate. Sasa kama hao nao unadhani wana vigezo vya kuitwa wasomi then kuna tatizo katika fikira za watanzania. Wasomi wapo wamejaa tele wenye misimamo tofauti lakini wote wamepevuka katika maeneo yao...wawe wale wa GLOBALISATION era ama wale unrepented leftists....

Wasomi tunao UDSM lakini tatizo hatuna utamaduni wa kuwatambua.....

Tanzanianjema
 

Hi dossier imekuwa katika mzunguko miezi zaidi ya mitatu iliyopita....

My take ni yuleyule toto tundu wetu.....Adam Lusekelo

Tanzanianjema
 
kubenea hawezi kujibu kama hizi..........hana uwezo huo. yeye mpaka amekatiwe siri za ndani za pahala aziandike.
 
:dhuu Uandishi Ni Wa Benjamini Mkapa. Nahisi Wakati Anaandika Hii Tabloid, Alikuwa Na Glasi Ya Whisky Kwa Pembeni:d
Kweli Kwani Mzee Kwa Lugha Mzuri Kwani Kuna Vionjo Vya Mkapa Pale, Wewe Kaa Naye Kalibu Utaona.
 
Huyu mwandishi kama si fisadi basi ni mwandani wa mafisadi. Soma alivyomwandika RA, huo kamwe hauwezi kuwa wasifa wake.
 


Nakubaliana na wewe 100%. Mawazo au Mlengaji wa hii article anaweza kabisa kuwa BWM lakini aliyeandika sio yeye. Zaidi ya yote, nimefurahia uhuru wake wa mawazo...siasa ya nchi yetu inabalehe.
 


Huyu mwandishi kama si fisadi basi ni mwandani wa mafisadi. Soma alivyomwandika RA, huo kamwe hauwezi kuwa wasifa wake.


Mavanza,

HATE THE GAME DON'T HATE THE PLAYER...HUO WASIFU NI WA RA ORIGINAL.
 
This one is a mercenary a hired hand to political assassinate anyone who has the courage to speak the truth. or lets say same truth.
 
Last edited:
Hivi mwandishi wa hii dossier aliweza kutambuliwa? Tunaweza kuongeza huu mchakachuo katika baada ya miaka mitano ya sarakasi za siasa za ari mpya huko bongo?
 
Lakini kuna ukweli fulani katika hii analysis yake. Ingawa ameonyesha chuki sana kwa wengi wao lakini kuna infos ambazo ni za kweli na zinajionyesha zaidi sasa baada ya miaka mitano ya sarakasi za kisiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…