Ukizungumzia the all times top 3 in kenya bs ntakutajia hawa.
1. Wyre
2. Avril.
3. Sauti sol
In addition, Jua kali, Shinski, Nonini, Aman.
But currently, my top 3 are,
1. Sauti sol......
.hawa jamaa ni kundi la watu wanne na wapo stable ile mbayaa.....wanaimba kila aina ya mziki ambao utatamani kuuskia basi utaukuta kwnye play list yao.
Na wamedumu kwa mda mrefu sana kwnye game ya kenya na kuleta mapinduzi makubwa sana ya muziki nchini humo......na kwa sasa ni moja ya international artists wakubwa sana hapa Afruca Mashariki wakitokea huko Kenya. Na wana collabo za kutosha sana walizozifanya na wasanii mbali mbali kutoka nje ya kenya na karibu zote zimekua ni hit songs.
Eg, Ft patoranking, Ft Iyanya, Ft Alikiba etc
2. Kaligraph Jones. OG.
With no dought, OG ameleta mapinduzi makubwa sana ya muziki wa hiphop kenya, africa mashariki na africa nzima kwa ujumla,
Jamaa kwa sasa ni moja ya wasanii kutoka kenya wanaosikilizwa sana kupitia platforms nyingi sana za burudani kuliko wasanii wengine wengi kutoka hapo Kenya.
Na ni rapper mnoma sana yn huchoki kusikiliza punch lines zake na flow yake aisee........Plus,,,mwaka huu amechukua tuzo ya Best African Rapper kwenye tuzo kubwa za AFRIMMA.
3. Willy paul & Otile brown.
Nimewaweka hawa pamoja kwa sababu zifuatazo.
Kwanza wanaimba mziki ambao kwa aina flan unaendana na ukiwa makini utagundua kwamba impact yao kwenye game pia inaenda sambamba, though to some extent willy paul anaonekana kama hard worker sana na mwenye uchu sana wa mafanikio katika muziki wake kuliko Otile brown,
But all in all ni wasanii wawili ambao wapo sana kwenye ramani ya Kenya kwa sasa na wanafanya muziki mzuri ambao hakuna atakae pinga kwamba hawa ndo mabingwa wa kuimbia warembo huko Kenya kwa sasa.
Ni moja ya wasanii kutoka kenya wanaosikilizwa sana Africa mashaki.
NB. MI NI MTANZANIA, NA HAYO NILIO YAANDIKA NI KUTOKANA NA KILE NINACHOKIONA NIKIWA HUKU BONGO KATIKA KENYAN FLEVA. NADHANI WAKENYA WENYEWE NDO MTAKUA NA PICHA KAMILI ZAIDI KWA HUKO KWENU JUU MUZIKI WA KENYA NA NI RUHUSA PIA KUONGEZEA AU KUREKEBISHA NILIPO ELEZA TOFAUTI
Sent using
Jamii Forums mobile app