Dero
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 328
- 190
Jamani nimeona nafasi za kazi nyingi za kampuni ya ASES zimetangazwa kwenye magazeti na mitandao mbali mbali. Ningependa ku-apply but before doing that nahitaji information ambazo nimezikosa kwenye website yao, nayo ni kujya owners wa hiyo kampuni. Thanks in advance.