white smoke

white smoke

Mungu atabaki kuwa Mungu tu.

ona jinsi ambavyo uteuzi wa pope unaamsha hisia za watu.
 
Mwalimu gfsonwin hasa kipindi hiki kwa taifa letu la Tanzania ni changamoto kwetu sisi sio wakatoliki tu pia wakristu wote wa madhehebu mengine kuwa kitu kimoja na kukemea matendo wa watu wachache wakiwemo viongozi wanao nemesha dhamira zao za kisiasa na kiuchumi kwa mgongo wa dini.Kuna mashirika ya umma mawili hapa nchi kuwa mkristo ni kosa kubwa,kuna dada namfahamu amelishwa sumu siku ya maandamano ya siku ya wanawake kisa tu mkristu ambae hawezi kutolewa kwenye hiyo nafasi kwani ni qualified na compitent,hapo ndipo tulipofikia kama taifa,it si very sad indeed.
Mtaani wangu snowhite na FP tusherehekee kupata Papa mpya kwa kuendelea kufunga kwaresma na kutenda mema pia.Dada Kaunga najua kwaresma ipo
 
ni kweli kabisa kaka yangu KIKUNGU

btw nilidhani ambaye angefuata angekuwa na jina lenye herufi C, kumbe wala imeangukia kwa F!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom